Thursday, March 21, 2013
Rais wa shirikisho la Soka nchini TFF,Leodgar Tenga (katikati) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana
Hatimaye mgogoro...
RAIS Jakaya Kikwete amezipiga kijembe klabu kongwe hapa nchini, Simba na Yanga, kutokuwa na maendeleo kisoka na kuiacha Azam FC, ikiwapiga kumbo kila idara huku wao wakiendekeza ushirikina...
Kenyan football fans took to social media on
Thursday to protest after reports that Harambee
Stars had received a less than warm welcome on
their arrival in Lagos ahead of Saturday's World
Cup...
Ushindi wa juzi (12/03/2013) wa Barcelona dhidi ya AC Milan wa 4-0, haukuwa wa kushangaza kwa wafuatiliaji wa mambo wengi, hasa kwa wakatoliki. Wengi waliuona ukija. Kwa nini?
1. Mwaka 1958...
Nmekua nikifuatilia kwa muda sasa uandishi wa huyu bibie hasa katika gazeti la mwanaspoti. Nashindwa kuelewa hivi huyu doris maliyaga hakuna habari yoyote ataandaa isiwe na maslahi na yanga. Au...
klabu yenye mafanikio na makombe meengi zaidi ya kimataifa hapa nalazimika kuitaja Klabu ya AC Milan yenye maskani yake katika Barabara ya Turati iliyopo Sansiro katika Wilaya ya Milan usiku wa...
Kumekucha na makucha yake. Nakumbuka benki ya CRBD ilishinda zabuni ya kuuza tiketi za mechi za timu ya taifa kupitia mfumo wa eletroniki. Mfumo ambao utahakikisha hakuna tiketi bandia au...
HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limelazimika kukubaliana na maagizo ya Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya sakata...
The International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) named FC Barcelona the best team of 2012
Messi and Iniesta, were named World's Best Goalscorer and the World's Best...
Excited to join you here today..!
Hope we gonna have great moment
A joke question;
"whos better between Emanuel Okwi vs Mbwana Samatta"
Its my first day here
chears!!!!
habari ambazo zimetapakaa kwa sasa ni kwamba ule mkutano ulioitishwa na wanachama wa simba umekubaliana kuondoa uongozi uliopo madarakani wa mh.adeni rage kutokana na sito fahamu katika timu hiyo...
Heshima kwenu basketball fans all over the world,,, March ndo hiyo imeshasogea na Basketball competition yenye ushindani kuliko zote duniani ndo inaanza kuchanganya..
ESPN haikaliki sasa, USA...
katika hali ya kushangaza mbunge wa tabora alipoulizwa ana maoni gani juu ya maamuzi ya mkutano mkuu alidai hao ni wahuni tu walikua wanakunywa kahawa na kutoa maamuzi ya kujifurahisha ndio maana...
fcb barcelone itamkaribisha rayo vallecano katika uwanja wa camp nou leo saa tano usiku kwa saa za tanzania hii ni
raundi ya 28 katika ligi ya spain la liga usikose kumuona mfalme wa...