Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kila mtu anaamini katika Imani yake. Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake. Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu. https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/...
0 Reactions
4 Replies
345 Views
Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000 2025: Simba / Berkane ? 2024: Zamalek SC (Misri) 2023: USM Alger (Algeria) 2022: Berkane (Morocco) 2021: Raja Club Athletic (Morocco)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu. https://www.facebook.com/share/r/1CCPnYjL7P/
4 Reactions
8 Replies
766 Views
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa! Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
YAANI wanatupa sisi Odd za Kengold kweli? Timu namba nne Africa Kwa hasira Shabiki wa Kolozdad weka laki tupige laki nane chap
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ilikuwa ni game ya fainali ya kombe la Caf mwaka 93 kati ya Simba Sport Club Vs Stella Abidjan ya Ivory Coast.. Tetesi zilizoenea mitaa ya jiji la Dar WS Salaam na viunga vyake ni kwamba Simba Sc...
4 Reactions
93 Replies
22K Views
Pamoja na ushabiki wangu wa Yanga ila ningependa tukio la kihostoria la mechi ya Simba dhidi ya RS Berkane ingechezwa Tanganyika Hii mechi ni kubwa na Watanganyika wangefurahi kuwa sehemu ya...
6 Reactions
8 Replies
563 Views
Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho Toka 2023 huu...
19 Reactions
39 Replies
2K Views
Huu ni uzi maalum wa kutaja wachezaji wa zamani ambao hukuwahi kuwaona wakicheza. Ukishawataja subiria wakongwe waliomuona akicheza waje wakuoe sifa zake. Mimi sijawahi kumuona George Magere...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu Ifuatayo ni orodha ya wachezaji...
3 Reactions
52 Replies
14K Views
President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Nikiwa kama shabiki wa Simba nimejaribu kuangalia mechi tano za Rs Berkane nimegundua jamaa wapo vizuri kwenye idara zote na huwa wanacheza kimkakati zaidi. Rs Berkane wanaizidi Simba katika...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target. Kwa msimu unaoenda kuanza wa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika [ACA], Engineer Hersi Said amechapishwa kwenye Jarida kubwa duniani la African Leadership, kama kiongozi wa mfano kwenye mpira...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Eng Hersi Said Ndo Binadamu Pekee Kwa Sasa Ambaye Anaweza Kuwasaidia Simba Mechi Yao Ya Kombe Lao la wamama likapigwa Benjamin Mkapa Stadium[emoji23] Badala ya zenji NB visit Zanzibar...
0 Reactions
12 Replies
722 Views
Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu! Uwanja umemeza...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Mmelishupalia suala la Simba kucheza mechi ya fainali kwenye uwanja wa Amani utafikiri nyie ndio Berkane. Hangaikieni mambo yenu. Mnafanya hivi kwa kufahamu nguvu ya Mnyama akiwa kwa Mkapa. Oneni aibu
5 Reactions
8 Replies
553 Views
Wataalam kutoka uturuki wakikarabati pitch (eneo la kuchezea ) Benjamin Mkapa stadium
18 Reactions
49 Replies
3K Views
Mashabiki na maofisa walioambatana na kikosi cha Simba wasota kwenye Uwanja wa Ndege wa Mohammed V wakisubiri visa. Msafara huo umetua na Ndege ya Rais. Dk. Samia Suluhu Hassan. Wamesota hapo kwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…