Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huwa unafanyika mwezi wa pili hivi, sijajua kwa mwaka huu unafanyika lini? Any hints!? Jamal Malinzi Mphamvu Amavubi
1 Reactions
4 Replies
998 Views
Wakati mwingine unalazimika kuweka kando unazi, huyu kijana ambaye alikua majeruhi kwa muda mrefu ameiimarisha sana safu ya kiungo ya Yanga Anatumia AKILI NYINGI SANA Hakai na mipira Hana...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Siku ya mechi ya Polisi Moro na Simba zilikutwa tunguli za kishirikina uwanjani, je zilikuwa za timu ipi kati ya Simba na Polisi? Wengine wanasema za polisi wengine wanasema za Simba walipoona...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Zamani ilikua kazi rahisi sana kutizama game za UEFA live kupitia ITV au Chanel Ten ,imekuaje sikuiz hawarushi tena? Kila siku kwenye bar na vibandani inakera kweli.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kawaida leo tutaendelea na ligi kuu Tanzania bara kwa mechi mbili, ni vita ya kugombania kukaa kileleni mwa ligi kuu ya Tanzania bara, yoyote atakaeachia pointi yoyote na...
3 Reactions
163 Replies
16K Views
Bakhresa adhamini na ligi ya zanzibar, ni aibu sana kuiacha ligi hiyo wakati sehem nyingine anamwaga fedha nyingi... Hata kama anatanua soko la bidhaa zake lakini kuiacha zanzbar ambayo ni asili...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
National Sevens team maintained its 12th position in the IRB World Series after bagging eight points in USA over the weekend. Playing in Las Vegas, the fifth stop in the nine leg series, Kenya won...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naelekea Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kiuzalendo zaidi baada ya jana kumshuhudia Amis Tambwe akiwatoa kimasomaso wanajangwani Naomba muendelee kutujuza matokeo ya hapa nyumbani pale Polisi...
0 Reactions
150 Replies
17K Views
Katika pitapita zangu YOUTUBE nikakutana na hii clip ya Bondia maarufu nchini Marekani miaka 1970-1980. Jina lake ni Sugar Ray Leonard, Bondia huyu alishawahi mchapa(K.O)Floyd Mayweather Sr...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na matokeo ya Aazam FC waliyoyapata jana dhidi ya timu ngumu barani Afrika ya El Merreikh ya Sudan hasa kutokana na kiwango walichokionyesha. Watanzania tumejionea wenyewe...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Toka Ijumaa ndani ya Azam TV mechi ya Mtibwa na Azam FC inarudiwa mara kwa mara na wala sio kawaida. Uushindi ulikuwa mzuri, hongereni!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mechi ya Azam na Simba SC msimu uliopita, mechi yamarudiano. Mashabiki wa Simba walikuwa wAkishangilia Azam FC na mashabiki wa Yanga walikuwa wakishangilia Simba, kwa mara ya kwanza niliona...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwelii inaumiza sana namagoli aliyokuwa anafunga UK Leo hiianaiishia kukumbatia wanaofunga huko fc barca jamani jamani inaumiza sana!!najiuliza no Amepigwa msumari aka???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza wadau wa hiyo radio nasikia wanakipindi cha michezo huwa ni saa ngapi sisi wengine tupo nje ya Dar tunaipata kwenye internet tu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mnavyojua leo tunaanza ile kalinyekalinye wa kuwacheki miamba wa soka Ulaya, sasa wale wakali 11 BEST wamewekwa hadharani - Angalia kama timu yako imetoa walau mmoja tu. Huku vinara...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana hadi naondoka ukumbi wa PTA Sabasaba nilikua sijaamini jinsi ngumi za TZ zilivyo, bado zinaendeshwa kienyeji na kimasikini sana! Kulikuwa na vituko viingi mno, kwa ufupi nilikua very...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kama mnavojua leo ni UEFA Champions League tulio wengi tunapenda mechi za Ulaya tatizo DStv hatuna na gharama kubwa kulipia. Mwenye kujua websites yenye kuonyesha live mpira msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1 Reactions
84 Replies
8K Views
Kapiga hat trick, kwenye ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Levante. Jamaa siku za karibuni yupo on fire sana. Mpaka sasa anatofauti ya goli 1 amfikie CR7
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mechi hii si ya kuikosa ila naomba wazalendo wote tuitakie heri Azam na tuendelee kujuzana yanayojiri hapa =========== Kikosi kilichowakilisha Azam FC 1. AISHI MANULA 2. SHOMARI KAPOMBE 3...
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Back
Top Bottom