Msaada jamaani . Nimefika mahali pa kuandika post code ni zipi ..

Msaada jamaani . Nimefika mahali pa kuandika post code ni zipi ..

Jamani nisaidieni hizi post code ni zipi nataka ni better online
sijajua unatumia mtandao gani kujiungia.
ila kama ni meridian, hiyo space iache kama ilivyo.
jaza mengineyo kwa usahihi..
 
Back
Top Bottom