Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

wakuu baada ya kufanya kaz na mbet sasa naitaji kuanza kubet kupitia meridianbet online naomba msaada maana website yao ukifungua haineshi kitu naomba msaada anayejua zaidi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Shumaramuuu!!!! Naombeni Mlioko Dar es Salaam mtupe updates za kinachoendelea Uwanja wa Taifa maana naambiwa mechi ni leo. Nimesubiria sana mlioko mjini walau muanzishe update lakini naona...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Kwa kipigo cha 8-0 walichopokea Coastal Union toka kwa Yanga,Julio hatawasahau Yanga. Ni kipigo chake pekee cha paka mwizi akiwa mchezaji na hata kocha. Ni kama Mourinho alivyopigwa 5 na Barcelona...
7 Reactions
116 Replies
16K Views
Timu ya soka ya Tanzania-Taifa Stars imepangwa kundi G na Nigeria,Misri na Chad katika kufuzu AFCON mwaka 2017 nchini Gabon. Draw imefanyika leo jijini Cairo,Misri. Kila la kheri Taifa Stars...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Kama ilivyo kwa Voda na M-bet,nauliza Tigo nao wanatoa hiyo huduma ya betting???
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Huu ni msimamo wa Ligi Kuu Bara, baada ya mechi za jana Jumatano Welcome on board Mkuu! Msimamo huu hapa: (Kuna mparaganyiko kidogo wa columns, kong'oli kwenye source) Rnk Team MP W D L GF...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
hivi ni kweli msimu ujao wa klabu bingwa ulaya uingereza itaingiza timu tatu tu? Manake liverpool alitoka kwenye makundi, arsenal, chelsea na man city walitolewa hatua ya kumi na sita bora.
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Kwa mwenendo wa ligi Simba mwaka huu inaelekea kuaga Ligi Kuu na kucheza ligi Daraja la Kwanza. Llakini hii inatokea kama utani vile japo ni swala la muda na wengi hawataamini
2 Reactions
61 Replies
11K Views
Leo ndiyo leo mtoto hatumwi dukani. Baada ya vijana wa jangwani kufanya mambo makubwa na mazuri kwenye Kombe la Shirikisho leo watakuwa Uwanja wa Taifa kukipiga na timu dhaifu kabisa Coast Union...
2 Reactions
426 Replies
44K Views
Baada ya jana kufunga mabao matatu katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Levante kwenye La Liga,mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi aka Andunje amebakiza mabao mawili kumfikia Christiano Ronaldo wa...
2 Reactions
143 Replies
26K Views
Wakuu habari za uhakika nilizozipata ni kwamba kocha msaidizi wa timu ya simba, SELEMANI MATOLA anafunga ndoa kesho mchana. Wote mnakaribishwa ubeche.
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Full Time: Yanga imesonga mbele licha ya kufungwa goli moja na FC PLATNUM ya Zimbabwe kwenye Kombe la shirikisho ikijivunia mtaji wa bao 5-1 mechi ya awali hapa Tanzania
1 Reactions
214 Replies
24K Views
Kwa hapa bongo zimeanza kuuzwa? Au zinapatikana wapi!!? Nahitaji 2 tu
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama heading ilivyo naomba uongozi wa TFF na wadau wote wa soka wachunguze mechi ya Simba na Kagera iliyopigwa Shinyanga. Binafsi nimechukizwa na mwamuzi wa mchezo huo kwa kuonesha upendeleo wa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limetangaza viingilio vya mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (She-Polopolo) kiingilio cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi timu zimekuwa zikiliwa sana na viongozi na saa asasaaa yanga timu ya africa tumeamua kuwaletea mdeni wenu ..kwa wale waliokuwa wakihangaika kujua hizi hela zimeenda wapi hawa jamaa wanakuja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kusema ukweli nimeangalia hizi videos hadi chozi likanilengalenga, haswa ile ya kwanza...na tukio la yule dogo msauzi. Soka ni mchezo wa furaha, amani, upendo na kuheshimiana...wacheza soka wengi...
32 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hao hapo. Mtakoma kujuta mbona. Alafu wanavaa jezi za kiume dadadeki!!!
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Naomba mnijuze hii mechi ya simba na kagera itachezwa leo huko shinyanga? Na itaonyeshwa live na azam??? Nijuzeni pls
0 Reactions
144 Replies
15K Views
Back
Top Bottom