Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Baada ya mchakamchaka mrefu na mgumu wa Ligi Kuu nyingi za Ulaya zinazofuatiliwa zaidi na Wanaafrika Mashariki, naomba kila mmoja apite hapa tupongezane
Kama umepoteza SIO MBAYA, Ngoma bado inaendelea msimu ujao
Kama umeshinda HONGERAAAA.
Karibuni wadau.
Kama umepoteza SIO MBAYA, Ngoma bado inaendelea msimu ujao
Kama umeshinda HONGERAAAA.
Karibuni wadau.