The TPM had nothing to fear from Shark FC XI. However, the Ravens have progressed this Saturday, 11/04/2015 Tata Raphael will leave a very bad memory. Not really because of the opposite team, but...
Leo ni leo.
Wale jamaa wataalamu wa kupiga mtu kwa kufata tar huku wafungaji wao wakitupia kwa kufuata mwezi watakua taifa jioni ya leo kupambana na wagonga nyundo wa nyanda za juu kudini(MCC)...
MWAMBUSI:
Nategemea kutumia mfumo wa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushitukiza(4-5-1)au(4-3-2-1)
Ndugu yangu kwa speed ya mawinga wa Yanga huwezi ukashambulia bila hesabu,vinginevyo unaweza...
Aliyekuwa mshabiki maarufu wa Team ya Yanga Steve Amefunguka na kusema kitendo chake cha kuhamia kuwa mshabiki wa Azam kutoka Yanga kimefanya maisha yake yawe Mabovu kimaslahi na umaarufu...
Straika wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe, ameweka bonge la rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kupiga hat-trick (mabao matatu mechi moja) tatu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
Natamani kuelekea Uchaguzi Wabunge Wa Ukawa Vijana Kwa kushirikiana na Wabunge Vijana Wa CCM Vijana kucheza Mechi Mpira wa Miguu. Mechi hii ni ya kutuandaa Vijana Wa Tanzania Kisaikolojia kuelekea...
Check out the new dancehall video ''RUMBLE'' made by the kenyan/drc, swedish based duo VIBETRIXX! Watch & Share!:mod:
Click on the below to watch
https://youtu.be/zMMKBgoqbmw...
Naona jamaa wabarca wako ikulu yetu wanakunywa chaîne na raisi
mh unajua kunamadadawa taifa nao wameingia all africa game vipi ukawapongeze kwakuwaita ikulu hawa hata kashata tu pu wtashukurumkuu...
UPDATES:
FT : Ndanda FC 0 - 0 Tanzania Prisons
FT : Mtibwa Sugar FC 1 - 1 Azam FC ( Mussa Mgosi for Mtibwa | Himid Mao for Azam)
FT : JKT Ruvu FC 0 - 2 Coastal Union ( Ike Obbina, Rama Salim)...
Miaka yote kombe lenu ni Top4! Safari hii kulikoni mbona hatuwaeleni? Kuweni wastaarabu basi kwenye mechi zilizosalia muonyeshe uprofeshenolizm! Yaan mtuovertek kwel mwishon kabisa wakat msimu...
Kama kawaida msimu wa ligi unapoelekea kwisha Simba inapokutana na Azam ,inakuwa imepoteza dira, na mbio za ubingwa zinabakia kwa timu kubwa TZ, Yanga na Azam.
Msimu huu tena tutaishangilia...
Nilikua niki tegemea tbc wataonyesha mchezo wa twiga stars na zambia lakini awakuonyesha wala kutangaza kwenye radio. Kumbukeni kua twiga stars inakua ikifanya vizuli kuliko timu yetu ya wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.