Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yes Leo mji wa Madrid umemuaga rasmi mtakatifu Luca endapo atacheza tena hapo basi ni kama legend na sio ndani ya galactico Nami nasema glasias Luca
4 Reactions
10 Replies
758 Views
Klabu ya Real Madrid imemtanganza Xabi Alonso kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo aliechukua mikoba ya Carlo Anceloti aliyehudumu klabuni hapo kwa muda mrefu. Xabi Alonso amesaini Mkataba wa miaka...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Msimu huu hasahasa huko Ulaya kumekuwa na wimbi la timu kadhaa kuchukua makombe mbalimbali baada ya kukaa muda mrefu bila kuchukua. Timu kama Newcastle United, Tottenham Hotspurs, Crystal palace...
0 Reactions
7 Replies
458 Views
Sisi fans wala hatuna presha kabisa yani,target ilikuwa kufika Nusu Fainali,lakini tumepita lengo na kuingia fainali Maana yake ni kwamba tayar tumeshinda kufanikisha lengo letu,kwahiyo leo...
1 Reactions
6 Replies
410 Views
Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
1 Reactions
6 Replies
548 Views
Hakuna Nchi yoyote iliyoendelea kisoka Duniani ambako mambo kama haya hufanyika. Na haya ndio sababu ya timu zetu kufungwa. Kama kweli mnalenga kusaidia hizi timu, Saidieni kwenye maandalizi...
6 Reactions
10 Replies
528 Views
Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake, Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice...
2 Reactions
16 Replies
831 Views
Mtume mwamposa ametabiri kuwa hawa wapakwa mafuta Simba watachukua ubingwa kesho......lkn according to my time traveling machine....imenionyesha kuwa Mnyama kesho anakandwa goli zake 3_0 saaafi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania. Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa...
18 Reactions
889 Replies
49K Views
Nitakua nawaletea watu mbalimbali watakao kua wanatabili matokeo ya mchezo wa fainali kati ya Simba na RS Berkane utakaochezwa Tanzania. Hata wewe mwana JFS unaruhusiwa kutabili ili mwisho wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au...
6 Reactions
57 Replies
51K Views
Huyu jamaa anapenda sana uchambuzi lakini ukimfuatilia utagundua hakujaaliwa kwa kazi hiyo ndio maana chambuzi zake zote ni ASSUMPTIONS and WISHFUL THINKING. Unapopenda fani fulani ni vema...
2 Reactions
4 Replies
468 Views
Simba 3, Berkane 2. Uwanja wa Aman Complex Zanzibar. Tarehe 25 May 2025. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League. Manchester United...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Endapo gori la ugenini likiondolewa itakuwa ni miongon mwa kukombolewa kwetu africa kwenye mpira wetu.
0 Reactions
3 Replies
288 Views
RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi. Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe...
1 Reactions
115 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…