Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,033
- 33,020
Mtume mwamposa ametabiri kuwa hawa wapakwa mafuta Simba watachukua ubingwa kesho......lkn according to my time traveling machine....imenionyesha kuwa Mnyama kesho anakandwa goli zake 3_0 saaafi
Matukio muhimu yatakayotoke kesho
--Mnyama kusababisha penalty...na kufungwa
--mnyama kumaliza Kwa 0 shoot on target
---kombe kwenda Kwa rc berkane El de wananchi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
---ahmed ally kulia
Mwisho mudi atatoa comment za kususa timu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app