RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi...
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi.
Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe...
Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma
Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
Bado game nne timu ya mkiani inaweza kuchukua kombe na inayoongoza kushuka daraja, point 11 zinatenga timu ya kwanza na ya mwisho ......
The Algerian Premier League title race is ridiculously...
Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point...
Wakuu,
Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, alooπ€£π€£.
Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za...
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo...
Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa...
Wazee wa Soka huyu Mwiraq Ezekiel Malongo mnamkumbuka? Alikuwa RTD miaka ya 2000.
Kiukweli alituvutia vijana wengi tukaupenda mpira. Alikuwa akiitangaza mechi ya Simba na yanga nilikuwa hata...
Rais wa Heshima wa Simba SC na Mkurugenzi wa Bodi ya Simba SC MO Dewji ameeleza kutoridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na CAF ya kudai uwanja Benjamin Mkapa haufai kuchezewa fainali ya Kombe la...
[emoji599] π§π₯ππ‘π¦πππ₯ π‘ππͺπ¦
Yanga wamemuuza Aziz Ki kwenda Wydad kwa kiasi cha tsh bilion 1.8
Awali Yanga walihitaji $800,000 (tsh 2,155,763,040) ila Wydad wamechekecha na kulipa 1.8b Kwa Aziz...
Kocha wa zamani wa Simba, Pablo Franco ambaye anaifundisha Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, alisema Simba inatakiwa kucheza kwa akili na siyo nguvu pekee.
βBerkane ni timu yenye uzoefu mkubwa kwenye...
MUNGU WA BABA YANGU
SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA
ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO
MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE
HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA...
BABA AMENIFURAHISHA SANA HAHAHAAAAA
BAADA YA KUMALIXA MAOMBI
AKASEMA JAMANI SI MNAJUA HATA YESU ALISEMA KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE KAMA N MAPENZI YAKO BASI YATIMIE
HAHAHAAAA...
Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu.
Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini...
Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na...