Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MUNGU fundi MUNGU Mwamba MUNGU ANAJIBU maombi Haya ndipoo manenoo aliyoongea Ahmed ally BAADA ya YANGA kupeleka malalamiko ya kunyimwa goli MECHI ya YANGA vs mamelody Nisimalixie fungua uchekeee
1 Reactions
4 Replies
706 Views
LEO TUMEFUNGWA KWASABABU YA YANGA Shabiki wa simba amelia na @yangasc pamoja na viongozi wake akidai wamefanya namna mpaka mechi haikichezwa kwenye uwanja wa Taifa (Benjamin mkapa) Tanzania Bara...
4 Reactions
11 Replies
720 Views
Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya...
3 Reactions
6 Replies
700 Views
Miaka ya zamani kidogo hasa 1988/1989 kulitokea janga uwanjani na kuua mashabiki wengi sana Hillsborough disaster, Liverpool wakafungiwa kucheza michuano ya ulaya kwa miaka mingi sana!Hadi Leo...
1 Reactions
2 Replies
534 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Muda huu hapa Kinondoni baadhi ya mashabiki wa Yanga wamekusanyika kufanya sherehe yao ya Kahawa Day wakifurahia Simba kukosa Kombe la Shirikisho. Una maoni gani juu ya hili? [emoji28]...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
26 May 2025 Liverpool , Uingereza Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool. Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia...
0 Reactions
6 Replies
844 Views
Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa...
1 Reactions
12 Replies
834 Views
Umoja wa wachambuzi hapa jamiiforum (UWAJA) unasikitika na kutoa pole Kwa Simba kufuatia kukosa ubingwa ... though juhudi mbalimbali zilifanyika....ni hujuma tu Hivyo basi....sisi kama umoja wa...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Mpira kwangu ni burudani tena haswa timu hizi mbili zikiwa zinacheza Yanga(chama langu), au simba(watani). Nichukue nafasi hii kuwapa pole wanasimba wote kwa kupoteza dhidi ya Berkane, kusema...
4 Reactions
16 Replies
981 Views
Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex? Mbona Yanga walipocheza finali na...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
0 Reactions
2 Replies
518 Views
Wakuu, Hili halihtaji jicho la tatu kugundua kuwa huyu jamaa ni garasa,na over confidence yake inamfanya afanye makosa ambayo mara nyingi huigarimu timu! Nazikumbuka enzi za tanzania one aishi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba. Yanga ilicheza fainali na...
18 Reactions
58 Replies
3K Views
Sisi kama Yanga tunasema lile shut la Aziz Ki halikuwa goli kwa sababu mpira haukugusa nyavu lakini kuna mashabiki wa Simba wanataka kutugombanisha na refa kwa kusema lilikuwa goli SIMBA...
4 Reactions
15 Replies
940 Views
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Taarifa zinaeleza kwamba, Kombe lingepelekwa kwanza Ikulu ya Zanzibar, ambako kungekuwa na Chakula cha jioni (tayari viti vilishapangwa). Baada ya hapo kombe lingepelekwa Ikulu Dodoma kwa ajili...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld. Kaa nami hapa kwa matukio ya...
6 Reactions
134 Replies
8K Views
Taarifa zinasema kuna uwezekano ALLEGRY Kuinoa Napoli huku rais wa Napoli akisema k.d.b watafanya mazungumzo naye mzabzab tim yako hii
1 Reactions
17 Replies
705 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…