Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

BERKANE WANGEAMUA WANGEIFUNGA SIMBA HATA GOLI 9 - BABA LEVO Kutokana na ubora walionao ila tu sema hawakuamua kukamia mechi la sivyo mnyama angenyweshwa goli 9 Kwa bila #JanaNaLeo #WasafiFM...
1 Reactions
6 Replies
475 Views
Hapo vip!! Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili. mazingira na ushahidi...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
ule uhuni aliofanyiwa jana huku mashabiki na viongozi wakiwa upande wa Ngoma umemkasirisha Camara ndio maana hakuweza hata kuvaa jezi wakati wa kupokea medali, na hata lile goli alilofungwa ni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Amani ya Bwana iwe juu yenu. Baada ya kukaa chini na kutafakari kwa kina nimegundua kuwa Yanga hutumiwa na wanasiasa kuzima hoja au mijadala inayojitokeza nchini. 1.Ishu ya Yusuph Kagoma Hii...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
NIMEONA VIJANA WAMEANZA KUCHUNGIZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU BERKANE WAMENIPA OFF SIKU MBILI SIKWENDA KAZINI LAKINI KWA HUU UJINGA WA SIMBA ZNZ NA UTOVU WA NIDHAMU NATANGAZA KUPUMZIKA AIKU NNE...
4 Reactions
8 Replies
589 Views
Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi...
2 Reactions
6 Replies
534 Views
Refa yule yupo Makini sana na ni mtu wa haki. Marefa wetu mjifunze
5 Reactions
11 Replies
713 Views
Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
0 Reactions
27 Replies
1K Views
WANASIMBA WENZANGU NAWAJULISHA JANA NIMEOTA KITU NA NAIONA DERBY YA JUN 15 IKICHEZWA NAWASHAURI MKAE KWA MKAO WA KUCHEZA JISAHAUNI...,,MTABEBBA 5
2 Reactions
3 Replies
266 Views
Na kama Uongozi wa Simba SC haukumalizana mapema na Elie Mpanzu basi wana Simba SC tuanze kujiandaa Kulia Ok?
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2 Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
1 Reactions
4 Replies
410 Views
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Za uzima Nianze kuwapongeza kwa kuwa washindi wa pili kombe la caf Kifupi mkijitayarisha kuvaaa majezi ma t-shirt y kila aina na hata zaa kuuzia mashbiki wenu pale mkichukua ubingwa Na haikuwa...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA YANGA WALIVAA SHANGA MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU WAO WANALETA KOMBEEE WAMEISSHIAA KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
1 Reactions
6 Replies
624 Views
Katika ukurasa wake wa instagram kapost kuwa CAF SIKU NYINGINE WASIWAPOTEZEE MUDA WAKATI WANAJUA KABISA WANA WASHINDI WAO Huyo ni waziri wa Michezo ambaye alikabidhiwa Mabilioni kurekebisha...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone. Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu. Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na...
2 Reactions
12 Replies
979 Views
Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.? Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni kwli watani wote wa jadi wana kelele za kutambiana ila Yanga wana nafuu, ikitokea wakashinda kombe la Caf kutakuwa na kelele ila ni kwa muda mchache yataisha. Kwa simba hali ni tofauti kabisa...
3 Reactions
2 Replies
270 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…