Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Mashindano ya kukimbia yanayojulikana kwa jina la Msakuzi Marathon yatafanyika ndani ya Msitu wa Hifadhi wa Pande uliopo Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, Julai 12, 2025 ambapo washiriki...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Kwani mchezaji wa kigeni anapaswa alipiwe ada na timu yake kwa TFF kwa kipindi gani tokea asajiliwe? Haiingii akilini TFF ikubaliane na Yanga eti italipia wachezaji wake wa kigeni inapochukua...
3 Reactions
6 Replies
584 Views
Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi damu ila nahamia simba Huku Yanga utapeli mtupu majungu kila kesi tunashindwa simba mnipokee
3 Reactions
8 Replies
478 Views
MSIMAMO WA YANGA (TAIFA KUBWA) 👉Zipi sababu za kuahirisha mchezo wa kwanza wa dabi ya Simba na Yanga tarehe 8 Machi 2025. 👉Kwa nini bodi ya ligi wamepanga mchezo mwingine bila suluhisho la...
4 Reactions
12 Replies
788 Views
Nimefuatilia vizuri hizi barua kwa uelewa wangu nimegundua kwamba nyumamwiko kuna mchezo wanacheze wa na watu waliowaamini kwenye club yao. Team ina udhamini, jezi, viingilio, bonus za kushiriki...
1 Reactions
7 Replies
582 Views
Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa "Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu...
3 Reactions
13 Replies
919 Views
Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa. huku Yamal kule Ronald. Lineups _ Portugal substitutes N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk Manager ...
14 Reactions
244 Replies
10K Views
Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na...
9 Reactions
197 Replies
7K Views
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting. Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao? Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu...
3 Reactions
24 Replies
11K Views
Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha...
2 Reactions
5 Replies
434 Views
Misimu mitatu bingwa hajawai lipwa....Yanga hatuchezi hata huko Zanzibar
0 Reactions
4 Replies
220 Views
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao. GENTAMYCINE nina...
-3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama yanga itasusa ligi ya Tanzania msimu ujao haya ni madhara yatatokea, 1. Kupoteza umaarufu wa ligi: Yanga ni moja ya timu maarufu na zenye mashabiki wengi nchini Tanzania na Africa Kwa ujumla...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…