Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa Dar es salaam , ambao waliwekwa katika...
Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,.
Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga.
Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia...
Binafsi nimefurahi baada ya maamuzi yaliyochukuliwa mpaka sasa, Ikiwemo CEO wa bodi ya Ligi Bwn. Almas Kasongo kutimuliwa, Na Bwana Mguto kujiuzulu huku derby ikisogezwa mpaka tarehe 25 June 2025...
Huyu Mwandishi Dominck Salamba ni mzima kweli Kichwani mwake? Nimekuwa nimfuatilia sasa nimefika mwisho na nimekuja kugundua atakuwa siyo mzima kichwani hata kama ni mapenzi na Yanga basi ameugua...
Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya Yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujue wazi kupata pointi 3 mbele ya Yanga kwa sasa ni...
Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa,
Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya...
Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la Europa League...
Bara la Afrika itawakilishwa na timu nne katika mshindano ya klabu bingwa dunia ambapo mechi ya kwanza kwa timu kutoka Afrika itakuwa kati ya Manchester City dhidi ya Wydad.
Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi...
Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano
Sakata linapamba moto
Source: Hans Rafael, mtangazaji crown media👑
Kutokana na uhitaji wawatu wengi kufahamu kuhusu casino za mtandaoni nimeona hatuna uzi maalumu wakujifunza na kujadiliana mbinu za michezo hiyo .kwamaana Uzi uliopo humu ni wakubeti mpira tu...
"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi...
Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu...
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na...
Mnamo 07/03/2025 mida ya saa 6 usiku klabu ya simba kupitia Idara ya habari ichapisha na kusambaza habari za kutoshiriki mchezo wa ligi ambapo ulipaswa kucheza keshi yake(08/03/2025) watu wengi...
Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025...
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya...