Wasalam
Nianze kwa kusema mjadala wa nani zaidi kati Lionel Messi na Ronaldo CR7 haujawahi kupata mshindi.
Pia sijawahi kuona upande gani ukiibuka washindi, pale walipopambanishwa kati ya...
Habari wana'Sport
Leo tarehe 11.4.2018 Klabu ya Singida utd kutoka Singida watakuwa Wageni wa YANGA pale Dar.
Wakiwa na rekodi ya kuwatoa Yanga kwenye kombe la FA .. Singida utd mchezo wa...
Wakuu habari zenu.
Kuelekea fainali ya UEFA Champions League tarehe 26 may 2018 nchini Ukraine, mjini Kyiv kumekuwa na kila mtu na mtazamo wake juu ya nani atacheza fainali na nani ataibuka kuwa...
Aman iwe nanyi
Yule kocha mbabe George Lwandamina wa Yanga SC ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya Zesco fc
Taarifa inayozagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tayari ashasain...
Huu utani wa mashabiki wa Liverpool baada ya mechi yao na Man City ulitaka kunivunja mbavu. Kwamba baada ya Mechi Alexander Trent-Arnold akatoa vitu vyake alivyokuwa navyo mfukoni kama...
"Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu"
Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa...
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi
mbili maarufu EPL na La Liga.
Jose akiwa kwenye interview na talksport...
Wakuu leo nilikia naangalia baadhi ya takwimu ya soccer la bongo kama vile
Timu yenye mataji mengi
Mfungaji bora wa muda wote
Magoli mengi ya kujifunga
Mchezaji mwenye assist nyingi...
Simba ilipata bahati ya mtende kwa kumsajili staa aliyeachwa na Yanga, namzungumzia Hamis Kiiza. Licha ya mafanikio makubwa aliyoipatia mikia ndani ya muda mfupi, majungu na lack of...
Leo ni kivumbi cha ligi kuu soka Tanzania bara ambapo mnyama simba atashuka dimbani kuumana na Mtibwa Sugar.
Ni mechi inayotarajiwa kuwa na ushindani wa kipekee kwani Mtibwa wamekuwa wanazikazia...
Habari wadau!!
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi...
Wakuu, nadhani mtakumbuka miaka ya hivi karibuni tulitembelewa na wachezaji wakongwe wa klabu ya Real Madrid na nadhani FC Barcelona. Nilidhani vilabu vyetu vingeanzisha utaratibu huu wa...
Alfredo Di Stefano ni mmoja kati ya watu wanaoheshimika sana katika club ya Real Madrid. Kwa miaka yote 11 aliyodumu akiwa mchezaji wa Real Madrid, Di Stefano alicheza kwa mafanikio makubwa sana...