Mikia fc : Majuto no mjukuu

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,780
10,710
Simba ilipata bahati ya mtende kwa kumsajili staa aliyeachwa na Yanga, namzungumzia Hamis Kiiza. Licha ya mafanikio makubwa aliyoipatia mikia ndani ya muda mfupi, majungu na lack of professionalism vilimuondoa. Nafasi yake akapewa Mavugo.

Leo hii ni nani atathubutu kusema Diego alikuwa mchovu? Ni striker gani hapo msimbazi mwenye kiwango cha Diego? Ama kweli majuto ni mjukuu!!!
 
Mkuu, huyo Mavugo akija Yanga anaweza kugeuka mfungaji bora VPL.

Mfumo wa Omog kujaza viungo katikati kila mechi unamnyima nafasi ya kufanya vitu vyake. Fikiria akiwa Yanga apate supply za akina Msuva, Ngoma, Abdul, Niyonzima nk itakuwa balaa.
 
Tangu akiwa Azam Omog sijawahi kuukubali mfumo wake. Pamoja na hayo naamini Kiiza alikiwa na msimu mzuri sana hapo msimbazi
 
walipo muondoa kiiza nikafurahi huku nikiamini kuwa msimu ujao 2016/17 watapata shida sana kwenye kufunga .....kitu ambacho kitawafanya wakose ubingwa tena na Yanga abebe kwa mara ya 3 mfululizo..
 
Mkuu, huyo Mavugo akija Yanga anaweza kugeuka mfungaji bora VPL.

Mfumo wa Omog kujaza viungo katikati kila mechi unamnyima nafasi ya kufanya vitu vyake. Fikiria akiwa Yanga apate supply za akina Msuva, Ngoma, Abdul, Niyonzima nk itakuwa balaa.
Hawa watu wana matatizo zaidi ya tunayo ainisha hapa uzuri baadhi ya viongozi wao huwaambia ukweli.
 
Tambwe aliona mbali sana,angebaki Simba hadi leo tungekuwa tunasema 'alikuwaga'!
 
Mkuu, huyo Mavugo akija Yanga anaweza kugeuka mfungaji bora VPL.

Mfumo wa Omog kujaza viungo katikati kila mechi unamnyima nafasi ya kufanya vitu vyake. Fikiria akiwa Yanga apate supply za akina Msuva, Ngoma, Abdul, Niyonzima nk itakuwa balaa.
Baada ya mabadiliko ya makocha, Mavugo karejesha liwango chake ukilinganisha na Kiiza?
 
Back
Top Bottom