Usidanganywe tena, tazama replay ya MAGOLI mechi ya Taifa Stars vs Moroco

Ndio maana kila nyakati utasikia Algeria, Morocco, Tunisia, Nigeria, Cameroon.......kumbe ni upuuzi tu...tunapeleka mitimu inayobebwa bebwa kwa rushwa...........damn!
 
Jamani pamoja na kujiwekea video hapa mmeshindwa kuona wenyewe?Morocco hawakuwa offside wakati cross inapigwa...kuna beki wetu alikuwa ameiua offside yao,nadhani erasto nyoni yule..baada ya mpira kupigwa ndo akajidai kurudi nyuma ili jamaa waonekane offside..cheza hiyo video halafu uisimamishe pale jamaa anapoanza kupiga cross
 
Mkuu tupo pamoja kabisa hata mimi nimeona ile haikuwa Offside, ni beki za Starz zenyewe ndizo zimejichanganya ila ile PENALTY sina uhakika nayo. Yule Mchezaji hajaguswa kiasi cha kwamba adondoke aende chini na kuwa Penalty. Kama ingekuwa hivi basi Barcelona ingepewa hata Penalty 8 kwenye El Classico moja.
 
Unanikumbusha goli walifunga Nigeria fainali za Olympics wakaitoa Argentina na Nigeria ikachukua dhahabu. Ilipigwa cross jamaa wa Argentina wakakimbia Nigeria wakafunga.
 
Jamani pamoja na kujiwekea video hapa mmeshindwa kuona wenyewe?Morocco hawakuwa offside wakati cross inapigwa...kuna beki wetu alikuwa ameiua offside yao,nadhani erasto nyoni yule..baada ya mpira kupigwa ndo akajidai kurudi nyuma ili jamaa waonekane offside..cheza hiyo video halafu uisimamishe pale jamaa anapoanza kupiga cross
ni kweli kabisa, alicheza trick ya kizamani sana, pamoja na kwmba sheria hii namba 11 ndiyo ngumu kuliko zote kuitafsiri lakini jumba bovu ni la Nyoni
 
Mkuu tupo pamoja kabisa hata mimi nimeona ile haikuwa Offside, ni beki za Starz zenyewe ndizo zimejichanganya ila ile PENALTY sina uhakika nayo. Yule Mchezaji hajaguswa kiasi cha kwamba adondoke aende chini na kuwa Penalty. Kama ingekuwa hivi basi Barcelona ingepewa hata Penalty 8 kwenye El Classico moja.
Penalty ni sahihi, inaonekana Morris alipaniki kwa jinsi alivyokaba na mastraika wote duniani eneo lile huwa wajanja sana
 
Lawama haziishi... tucheze kiProfeshno tutaibuka na ushindi, Bado fursa tunazo!! Good luck "mpira ni mchezo wa kutotabirka"
 
Mpira ni uwezo! Kwa sasa nadhani Tanzania tunauwezo kuliko Morocco hata wao wanajua ndo mana walianza mizwenge tngu nje ya uwanja. Kiukweli Maamuzi yalikua sahihi lakin naipongeza team yangu kwani ilinionyesha uwezo mkubwa sana sana kiufundi.
 
uungwana ni vitendo na kwa kuwa sasa tunu yetu ni uzalendo sishabikii kabisa wanaosema na ss tufanye mizengwe, zengwe letu liwe SOKA LA KITABU tu
 
Jamani pamoja na kujiwekea video hapa mmeshindwa kuona wenyewe?Morocco hawakuwa offside wakati cross inapigwa...kuna beki wetu alikuwa ameiua offside yao,nadhani erasto nyoni yule..baada ya mpira kupigwa ndo akajidai kurudi nyuma ili jamaa waonekane offside..cheza hiyo video halafu uisimamishe pale jamaa anapoanza kupiga cross
nimeshangaa sana eti wanasema ni offside.....goal klia kabisa....kama alivyosema mdau nakumbuka goal la olimpiki 96 la tatu argentina waliukimbia mpira uku wakiwa wameshazidi tayari....
 
Hakuwa offside kabisa. Cha Ajabu kuna beki 3 wa Tanzania wamemzingira ambao walikuwa na uwezo wa kumdhibiti lakini kwa ukosefu nadhani wa exprience waka amua kusubiri huruma ya refa. Aidha mpira ulipigwa juu sana na kama Moriss na wenziwe wangeweza kumtrack na kumuweka kwenye mazingira magumu yule mmorocco kabla hata mpira hajaupata.
Goli1.jpg
Conclusion:
1. Tuna wachezaji wenye vipaji lakini wenye elimu finyu ya mpira;
2. Watanzania tunapenda sana kukubali jambo lolote linalosemwa hata kama uwezo wa kutafuta ukweli wenyewe tunao.
3. Tusipo badili tabia hii kufanikiwa kwetu ni ndoto.

Asanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom