Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro Watu...
1 Reactions
5 Replies
409 Views
Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria. Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza...
4 Reactions
6 Replies
696 Views
Hapo vip!! Kwanza kuna dhana potofu,dhaifu na ya kipumbavu yakwamba yanga imepigania uhuru wa nchi. Ipo hivi kabla ya 1961 kulikuwa hakuna timu inayoitwa yanga bali kulikuwa na timu zilizo...
2 Reactions
14 Replies
696 Views
Nauliza tu, wadau Simba SC walisema leo ndio wanancheza Dabi tofauti na tarehe nyingine yoyote. Je! Tayari Simba SC washapeleka timu uwanjani km walivyosema? Au ndio kutishiana Nyau?
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Salaam Members! Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi. Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama nilivyo anza naomba niwajulishe ya kwamba katika siku mtakuja kujilaumu katika maisha yenu yote na kubaki hadithi ni siku ambayo mtashindwa kuchukua maamzi stahiki kwa klabu yoyote...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu, Leo hii ndiyo siku tuliyoisubiri kwa hamu sana,mechi yetu ya kuamua ubingwa wetu,nikati ya Yanga dhidi yetu pale kwa Mkapa, Nawaombeni tujitokeze kwa wingi kuipa sapoti timu yetu kubwa...
5 Reactions
23 Replies
903 Views
Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba...
11 Reactions
207 Replies
10K Views
Kombe la Dunia la Vilabu kwa muundo mpya linaanza rasmi leo tarehe 14 Juni 2025, likifanyika nchini Marekani, na kwa mara ya kwanza likihusisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Hili ni toleo la...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa...
2 Reactions
2 Replies
384 Views
Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie...
2 Reactions
10 Replies
461 Views
Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe...
0 Reactions
13 Replies
768 Views
Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel...
3 Reactions
8 Replies
854 Views
Moja kati ya Move ya hovyo iliyofanywa na wanasiasa ni hii ya kuruhusu viongozi wa soka wajiuzuru kwa matakwa ya timu Moja Hii ni Lazima italipizwa na Simba na ndo tutakumbuka hii siku ya Leo...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu...
18 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…