Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

kama kawaida katika maisha ya ukocha hatimaye jamaa ametimuliwa baada ya msururu wa matokeo mabovu yaliyojitimishwa na kichapo cha mbwa koko toka kwa adui zao wa kila siku kwenye soka-barcelona...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
watanzania tulikuwa watu wenye mapenzi mema hapo zamani. ilikuwa hata kwenye krismass wakristo wanawalika waislamu na kwenye idi waislamu wanawaarika wakristo. ndo tulivyolelewa na misingi hiyo...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Baada ya kumpa 5 Ndg. Masua Bwire jana, Usiku mzima nilikua nawaza, dirisha dogo la usajili la TPL linafungiliwa wiki kadhaa zijazo.. Je ni mchezaji gani Simba SC tumsajiri toka hizi timu za hapa...
6 Reactions
64 Replies
12K Views
Hahaha.. Hawa Simba ipo siku watasababisha maafa uwanjani.. Eeeh Mola walinde wapinzani wetu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa namna yoyote ile kocha huyu mbovu mwenye miaka 52 , aliyewahi kuwa golikipa miaka iliyopita hana nafasi tena ya kufundisha Real Madrid . Naamini mpaka kufika muda timu imemvumilia vya kutosha...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Download app ya kuongeza followers instagram na kuboost likes FB
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta aliendelea kutikisa ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League, kwa kufungia klabu yake mabao mawili katika mechi iliyochezwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tham khảo luận văn các đề tài luận văn luật hành chính, luận văn thạc sĩ các chuyên ngành như luật kinh tế, luận hình sự, luận dân sự, luật hành chính,… Tham khảo thêm những đề tài, tài liệu để hỗ...
0 Reactions
6 Replies
861 Views
Msemaji wa Ruvu Shooting, Ndg. Masau Bwire kaanza tambo zake kua lazima wamkalishe Mnyama 28/10/2018. Namnukuu... Tuko mawindoni, tunamuwinda Simba wa Kariakoo, lazima tumuangamize. Kwa kutumia...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Mshambuliaji tegemezi wa club ya Everton Sigurdsson G raia wa Iceland ukimlinganisha na mshambuliaji wa club ya KRC Genk Samata M raia wa Tanzania utaona sababu kubwa ya Everton kumtaka samata...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Usiku wa kuamkia Leo Bondia Hassan Mwakinyo alimgaragaza bondia Joseph Sinkala kutoka Dar kwenye round ya 2 kwa TKO na hivyo Mwakinyo kupata mikanda 2. Jionee jinsi Bondia Sinkala alivyopigwa TKO
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kivumbi cha ligi kuu Tanzania (TPL) kuendelea tena leo Oktoba 28, 2018 kwa mechi nne kupigwa katika viwanja tofauti huku gumzo likiwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam saa 1:00 usiku...
7 Reactions
530 Replies
40K Views
Mtaje yoyote unayemjua hapo pichani ikiwezekana na sifa yake moja tu
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii imetokea kwenye game kati ya Wenyeji Leicester dhidi ya wageni Westham United ambayo imemalizika kwa sare ya goli 1- 1 Taarifa za awali zinaonyesha kwamba Mh Mwenyekiti hakuwemo ndani ya...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Huyu jamaa huwa sielewi kabisa.ikitokea akaenda kuchezea team yake ya Taifa huwa kama anaenda kunoa makali.akirudi anarudi na makali mapya. Nadhan TFF waangalie suala hili kwa umakini isije ikawa...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Salamu, Jana mida ya Saa 1 hivi nikiwa live TBC Radio,nikisikiliza matangazo ya mpira wa Simba na RUVU, MATANGAZO YALIKATIZWA GHAFLA NA KUJIUNGA NA IKULU ! Kwa kuwa mimi TBC huwa nasikiliza mpira...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nimefuatilia baadhi ya Michezo kwa baadhi ya timu na kugundua kuwa kuna uonevu wa makusudi au kutokujua. Michezo inayozihusisha Simba na Yanga zinachezwa jioni saa 10 kama timu...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mchezaji wa timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB), Murshid Ally (mwenye jezi ya rangi nyekundu) akiwania mpira na mchezaji wa Benki ya Afrika Tanzania (BOA) Hussein Rajab katika mchezo wa ligi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
'Tawi la Yanga lazidi kupukutika'.. ndivyo waweza kusema juu ya Singida United ambao ni 'tawi' la Yanga. Hii inakuja baada ya beki wao kisiki, Mganda Shafiq Batambuze kusaini rasmi mkataba wa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
kama kawaida mwana mbagala katupia dakika ya 84 ila kama kawaida ya ujinga wa defence ya genk goal likasawazishwa dakika ya 90 lakini bado wanaongoza ligi Samatta kafikisha goals 8 yupo kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom