Salamu,
Jana mida ya Saa 1 hivi nikiwa live TBC Radio,nikisikiliza matangazo ya mpira wa Simba na RUVU, MATANGAZO YALIKATIZWA GHAFLA NA KUJIUNGA NA IKULU ! Kwa kuwa mimi TBC huwa nasikiliza mpira pekee ,nilijofanya nikuhamia kituo kituo kingine ,na kuendelea na uhondo!
Ila asubuhi hii uzalendo umenirejea kidogo...nikajiulize hivi kulikuwa na nini Ikulu,kila naye muuulize hajui ! Nikaona nije huku kwenye kisima cha habari ...nijue Mheshimiwa Mtukufu Rais ,Mpendwa alikuwa na ujumbe gani mida hiyo!?/