Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kocha wa Timu ya taifa ya Libya ambaye amewahi kuzifundisha kwa nyakati tofauti timu ya taifa ya Kenya na vilabu vya Usm Alger na Es Setif bwana Adel Amrouchi amekunwa na kiwango cha kiungo Fei...
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amepewa heshima ya kuvaa jezi maalum kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya Ubelgiji kati ya timu yake ya KRC Genk dhidi ya Club Brugge kutokana na kuwa kinawa wa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nipo hapa kwenye kibanda umiza na jamaa wawili watatu tunatazama mpira wa Yanga na Lipuli. Kwa kweli Yanga ni tia maji tia maji. Mpaka sasa dakika ya 65 wana goli 1 tu. Mpira umepoa...
9 Reactions
140 Replies
16K Views
Waungwana Kristu/Asalyaleykum.... Waungwana mi ni mgeni kiasi katika biashara hii ya kubeti. Naombeni mnijuze kampuni gani zuri kwa ajili ya kubet ni lini? Kati ya MBET, SPORTPESA, MERIDIAN na...
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Fainali ya kwanza ya michuano ya Caf kati ya Al Ahly na Esperance.Saizi ni Half time Al ahly wanaongoza bao 1-0 Dakika ya 58 Al Ahly wanapata bao la pili Mechi inaonyeshwa live zbc 2
1 Reactions
0 Replies
865 Views
Watanzania akili zetu zimelala sana wanao taka Manji aendelee kuwa mwenyekiti sio kama ni Kiongozi mzuri ila eti ni kwa sababu ana pesa Hayo mambo yamepitwa na wakati kilabu kubwa kama Yanga kuka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Denmark mwenye miaka 30 amehukumiwa kifungo cha siku 50 baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mwendesha 'taxi' katika Mahakama ya mji wa Copenhagen Hata...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Shirikisho la soka duniani(FIFA) limempa kifungo hicho Makamu wa Rais wa Kwanza wa CAF, Kwesi Nyantakyi ambaye pia ni Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini Ghana Ni baada ya kubainika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baraza la Michezo nchini(BMT) limeitaka Yanga kufanya uchaguzi na usimamiwe na TFF kwani Kamati ya Uchaguzi ya Yanga haijitoshelezi Aidha, limeamuru Wanachama wote wasio na kadi kwenda kwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuanzia kesho tarehe 24, Oktoba 2018, Chaneli ya Super Sport 7 (SS7) namba 207 itaanza kupatikana ndani ya kifurushi cha Compact ambacho bei yake ni Tshs. 69,000/= kwa mwezi. Chaneli hiyo...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa. Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Imeripotiwa kua 28/10/2018 vijitetemeko vidogo vilirekodiwa katika sehemu mbali mbali nchini, na hii ilikua ni kuanzia saa 1 kamili usiku hadi 3 kasoro. Vitetemeko hivyo vilitokana na shangwe za...
12 Reactions
27 Replies
4K Views
wapenz wa dufu tukutane hapa #dufu_burudani_si_ugomv
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni hatari sana kwa kweli. Genk wamerudi kileleni,club brugge ya 2 royal antwerp bado ya 3 goals ni 4-2 ,Samatta kapiga 2 hivyo anaongoza msimamo wa wafungaji bora akiwa na GOALS 10 SAFI SANA...
10 Reactions
22 Replies
4K Views
Kamati ya kuzuia na kupambana na dawa zisizoruhusiwa michezoni ya Kanda ya Tano Afrika (RADO) imetoa hukumu ya kumfungia mchezaji Mohamed Issa banka kutokana na matumizi ya dawa zisizoruhusiwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Whatever lotto game you decide to play, first do these important checks: 1. The game is state backed. Make sure your government is behind it for added security. 2. Do not play lottery games...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
KAZIKAZI YANGA IMESHINDA TENA 1-0 PTS 3 NDUGUZETU WA KARIAKOO MSIMBAZI NASIKIA NAO WAMEPIGA MTU TANO.PTS TATU AGAIN TANO PTS TATJ DDOH MPIRA WA MIGUU AUKO FAIR..KABISA
8 Reactions
91 Replies
6K Views
Huyu jamaa anaitwa massawe anamaneno mengi sana ya tambo na TIMU yake ikifunga hapo NDIO usiseme,tukumbuke maneno yake kidg 1.maiti imepga chafya. 2.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikia leo kuwa mchezaji Ibrahim Ajib wa klabu ya Yanga kaomba asicheze mechi leo dhidi ya KMC kwa kuwa anaumwa. Nimekuwa natafakari sana suala hili kwani mie hupendelea sana kumuona akicheza...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom