Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Updates: Hadi Mapumziko: Simba 2 - 0 Yanga Dk 50: Simba 2 - 0 Yanga Dk 63: Simba 3 - 0 Yanga
3 Reactions
1K Replies
89K Views
Timu ya Copa Coca-Cola ya Tanzania imeondolewa na timu ya Copa coca ya Zambia muda mfupi uliopita kwa kufungwa goli 1 kwa 0 huko mjini Nakuru nchini ambako mashindano ya Copa coca Africa...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji. Tayari imeshatuma watu kumfuatilia. Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Mshabiki wa man city wanaishangila united ili imbonde liver wao...
0 Reactions
3 Replies
737 Views
SIMBA na Yanga ni watani wa jadi. Jambo linalofanyika Simba kwa namna moja ama nyingine litakuwa na tambo kwa Yanga. Simba ikishinda mchezo lazima itatoa tambo zake kwa Yanga na vivyo hivyo kwa...
11 Reactions
77 Replies
70K Views
Kwanza kabisa nakiri ya kwamba mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Yanga, sijawahi kuota ndoto juu ya tukio lihusulo mpira wa miguu. ila kwa mara yangu ya kwanza niliota ndoto kwenye mechi ya Ndanda...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Sijui kama Liverpool wanatoka kwenye game hii ya Leo vipi kuhusu maoni yako juu ya mechi kali na ya kukata na shoka Karibu mwana jf:-
1 Reactions
82 Replies
8K Views
Tanzania bado tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu katika michezo mbalimbali. Hivi karibuni timu ya mpira wa miguu wa ufukweni (beach soccer) ilikwenda misri katika michuano hiyo ngazi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya ile derby kali, kuvurugika sasa rasmi ,itaenda kupigwa uwanja huru ,na sasa Waargentina hawa watavuka bahari hadi bara la ULAYA kwenye uwanja wa SANTIAGO BERNABEU kupambana HII SIO YA KUKOSA
3 Reactions
63 Replies
9K Views
Comeback ya nguvu kama kawaida ya mabingwa wa muda wote Young Africans kupitia magoli ya Shaibu Ninja na Makambo the Congolese international,baada ya kuwa nyuma kwa goli moja hadi kipindi cha...
10 Reactions
27 Replies
4K Views
Mashabiki wa simba hamna haja ya kufurahia viporo vyenu kwani wapinzani wenu wameshinda mechi zao kwa hyo mjiandae kisaikolojia viporo kuchacha
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Timu inaelewana na kizuri zaidi timu inachukuliwa kama underdog hivyo mpinzani akija na mentality hii lazima ageuziwe matokeo kama alivyofanyiwa vijibibi vya Turin palepale kwao akala kipigo. Man...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Huyu kocha wa Arsenal ananishangaza sana ! hajui kiingereza lakini analazimisha kuongea huku watu wote hatumuelewi ! Amedanganywa na nani ?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Espanyol 0 Barcelona 4 Messi kaingia kambani x2 na ametoa assist Ya goli la pili la Dembele Kwa walioshuhudia jinsi Messi alivyofight ktk game hii, ambayo kwake Ni game yake ya pili tangu atoke...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapa ni baadhi ya wachezaji wa Ufaransa waliobeba Kombe la Dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998. Je ndugu yangu mhenga unamkumbuka nani hapo kwenye picha?
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza kabisa ninakupongeza kocha Zahera na wachezaji wote kwa mshikamano mlionao tangu ligi ilipoanza mpaka sasa hamjapoteza hata mechi moja. Kwa wapenzi wa Klabu jirani zetu kila mara...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Heeeeey wadau naomba kufahamishwa matokeo ya Azam mechi inayopigwa mda huu
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Taifa letu pendwa limekuwa na timu kadhaa za taifa katika michezo mbalimbali miongoni mwao ni za soka, mpira wa kikapu ,riadha, kuongelea na kadhalika.Mara nyingi timu za soka zimekuwa zikipewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari members wenzangu!!! Matokeo ya mechi zilizochezwa leo 10/12/2018 kama ifuatavyo. Morocco 5-4 Ivory Coast Egypt 4-2 Madagascar Nigeria 4-2 TANZANIA Baada ya kupoteza mechi zote tatu katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…