MOTO UNAENDELEA EPL WIKIENDI HII NI FUJO

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,008
68,159

Mshabiki wa man city wanaishangila united ili imbonde liver wao wakae pale juu


Mashabiki wa united wanaishangilia city ili imbonde Everton wao wampiku

Hapa tunasema city unitedjiji limeungana sasa

Mashabiki wa liver wanaishangilia Everton wambonde city gap likue wabaki juu pale

Mashabiki wa Everton wanamshabikia Liverpool ambonde man united wao wampiku
.
Hapa hawa watu wa mashemeji derby/friendly derby nao wanaungana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom