Hata Beach Soccer Tunadundwa tu..

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,558
2,824
Tanzania bado tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu katika michezo mbalimbali. Hivi karibuni timu ya mpira wa miguu wa ufukweni (beach soccer) ilikwenda misri katika michuano hiyo ngazi ya Africa ambako nako timu yetu hiyo imeendelea kuwa jamvi la wageni kwa kupigwa karibu kila mechi iliyokwisha cheza...
1544614546861.png
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom