Hongera sana kocha zahera na wachezaji wote

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kwanza kabisa ninakupongeza kocha Zahera na wachezaji wote kwa mshikamano mlionao tangu ligi ilipoanza mpaka sasa hamjapoteza hata mechi moja. Kwa wapenzi wa Klabu jirani zetu kila mara wanatusema kuwa hatuna fedha, Klabu imefilisika sasa tuwaonyeshe kuwa sisi ni wamoja na hivyo tunaiomba Klabu ifufue ile akaunti ya Mpesa,Airtel, Tigo ili wapenzi wa Klabu tuweze kutuma fedha ili kuisaidia Klabu yetu. Watani wetu hawana raha kila tukipata ushindi katika mechi tunazocheza. Tuna imani ubingwa utarudi tena Jangwani msimu huu.
 
Naaam walete namba tuchangie timu yetu.Yanga hoyeeeeeee
 
**** make yaani. Hawa wachezaji wa ngaya wamenishangaza sana wana hali mbaya na ngumu kiuchumi lakini huwezi amini wanavojitoa na kujituma kama sio kupambana uwanjani hadi unabaki kiwashangaa tulitegemea wafanye vibaya simba ndio ifanye vizur kwa kuwa simba ndio wanahali nzuri kiuchumi ila mambo ni tofauti kabisaa kiukweli hongereni sana wachezaji kwa kujituma ila. Nawqlaumu sana tena sana wachezaji wa simba maana hawajui wqlifanyalo sio wa kucheza kwa kiwangp kile kiko chini sana ukilinganisha na majina yao pia. Na mshahara wanaolipwa ni mkubwa mi naona bado wandeni kubwa la kuilipa simba bado cjaona wanachofanya wasipobadilika itakula kwao watafurushwa wote ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom