Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Kwa jinsi alivyoiendea mechi ya leo ni wazi anakijua anachokifanya. Nashauri Yangq imuongezee nguvu kwa kuziba madhaifu yaliyopo na kumpa uhuru wa kupanga na kuamua kikosi. Sababu zangu ni hizi...
Wakuu,
Naomba viongozi wa Simba wamsaidie kocha Fadlu either matured assistant coaches au washauri kumsaidia kujua kucheza game dakika za lala salama.
Pamoja na ubora wake lakini trend ya Simba...
Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni.
Ikumbukwe kuna mwaka Jana...
Wakuu,
Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.
Nafasi ya goal keeper haihitaji...
Inter Miami's market value according to Transfermarkt is €66.18m. While Porto's is €345.90m and Atletico Madrid's is €508.50m.
The MLS side is the only one that advanced to the Round of 16...
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou...
"Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30
Mechi ambayo inatamatisha msimu huu...
Inasemekana mashambulizi yamemzidia President Karibu kutoka kila Kona, kuanzia serikalini, vilabu na wadau
Kuna kampuni kubwa ya kurusha matangazo ya mpira imekuwa ikipiga hodi TFF kuomba kurusha...
Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo.
Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja...
Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape...
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu...
Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo...
Kati fundi Aucho pembeni Pacoume Ngwena Zuzwaa kuna huyu Waziri Wa Kazi Maalumu (Max nzegeli) Kila mechi Lazima awaweke hakika Wese boy wameingia kwenye MFUMO.
Dadekiiii, achana na Mudathri kuna...
Hawa wachezaji wa Simba ni Useless kabisa ,timu iko nyuma dk ya 70 wachezaji wanatembea ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu .
Wachezaji hawana fighting spirit, wazito na hawajui
Soma Pia: Full...
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums.
Nina uhakika Kwa...
Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa...
Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara...