Me ni mshabiki name mwanachama wa Yanga SC, but nilipata wasaa wa kwenda Taifa na kuangalia game ya Simba na NKANA, dah Nimejifunza mengi Sana,
..moja, Mpira ni BIASHARA NZURI SANA UKIIJULIA...
MIKIA kila jambo wao wanaona jipya! Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF, Kila hatua ama jambo mnaloliona...
hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba...
Kutokana na taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi nikiwa mtanzania mzalendo na mwenye kuitakia mafanikio timu pekee inayowakilisha Jumuiya ya...
kwa mara ya kwanza nimewekeana na mtani wangu kiasi cha shilingi laki moja endapo mtabeba ubingwa
ni kwel ligi ni ngumu lakini nawaamini hasa ukizingatia yanga katuacha point nyingi...
Kuna uzi ambao bado una hang hapa ubaoni uliowekwa na ndugu yetu aka Louis II kua mbwana Samata kijana wetu anaecheza huko belgium ati hana lolote na kwamba ati anabebwa na bahati tu ! Hakuishia...
Guinean club Horoya AC staged one of the greatest African club comebacks to defeat Libyan visitors Al Nasr 6-2 in Conakry on Sunday and book a Caf Champions League group place.
Trailing by three...
Simba leo ilikuwa waondoke. Na aliyekuwa awaondoe ni mzee wetu mmoja wa hapa hapa Tz tena Dar.
Wale makomandoo waliozuia watu wetu wasiingie Taifa tutawatafuta tu tuwachape kama mlivyowachapa...
Ni mapumziko hapa Chamanzi Kcca wakiwa wanaongoza kwa goli 1-0 huku mtibwa wakionyesha kiwango kibovu kabisa kuanzia benchi la ufundi hadi wachezaji ndani.
Kwa mpira huu ni ngumu sana vilabu vya...
Ndoto ya muda mrefu ya kiungo fundi Tanzania mwenye Kipaji cha kuzaliwa Haruna Moshi Boban kukipiga ndani ya klabu kongwe na yeye historia ya kipekee Afrika "YANGA" imetimia
Mpaka sasa dk ya 10...
Kitendo kilichotokea leo sijawahi waza kuna siku ntashingilia mikia.bao la chama lilinifanya nishangilie huku nmekunja uso na kujawa huzuni sana.
Sielewi ilikuaje lakini nlijikuta nmeamka na...
Mechi dhidi ya Ruvu shooting alifunga bao la ushindi kavua jezi, kashangalia baada ya mechi kama kachukua ubingwa. Hizi sio tabia za wachezaji proffesional anaonekana anabahatisha.
Ona Chama...
Habari zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba ' Makomandoo ' wa Simba SC katika hali ya Kuonyesha kuwa hawana ' Utani ' kabisa hasa kuelekea Mechi yao ya Kesho dhidi ya Nkana Red Devils jioni...
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya...
Ebwana wanaJF Mzuka!
Leo hapa Copenhagen mchana nilikuwa najinyoosha kidogo nikakutana na waafrika wenzangu wanne. Nikamuomba mmoja anipige picha kwenye simu yangu. Baada ya kunipiga tukaanza...
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia...
Tumejitahidi hadi hivi sasa kwa Nguvu za Giza na kuna Goli 2 ila na Wao pia watapata Goli 1 hivyo ' Upepo ' bado unaweza ukawa siyo mzuri Kwetu. Na hali hii imekuwa ngumu hivi Kwetu kwakuwa kuna...
TUZO YA MESSI
ZAWADI PEKEE AMBAYO ANASTAHILI MWANADAMU HUYU
NA
NIHZRATH NTANI JNR
Jioni moja, ukiwa umejipumzisha nyumbani. Umri wako sio ulionao sasa, wakati huo. U mzee ,mwenye mvi nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.