Kuelekea mechi yao dhidi ya Nkana Red Devils tarehe 23 December 2018 ' Makomandoo ' wa Simba SC watembeza ' Kichapo ' kwa Mashabiki wa Yanga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,875
Habari zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba ' Makomandoo ' wa Simba SC katika hali ya Kuonyesha kuwa hawana ' Utani ' kabisa hasa kuelekea Mechi yao ya Kesho dhidi ya Nkana Red Devils jioni ya leo wametembeza ' Kichapo ' kikali sana kwa Mashabiki wa Yanga ambao inasemekana walikuwa wanataka Kuingia Uwanjani ' Kuroga ' ili Simba SC ' ifungwe ' na Timu hiyo kutoka nchini Zambia.

Mtoa taarifa amesema kwamba ' Mzozo ' ulianza hasa pale ambapo katika hali isiyotarajiwa na ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa Mashabiki hao wa Yanga SC walidai kuwa wanataka kuingia Uwanjani ( Kwa Mchina / Uwanja wa Taifa ) kufanya Mkutano Wao ndipo wakashtukiwa na ' Makomandoo ' wa Simba SC ambapo waliwafuata na kuwatembezea ' Kipigo ' cha Kikatili / Kishalubela ambacho kimewaacha wengine hadi sasa hivi ni kama vile ' Nusu Marehemu ' huku wengine wakiwa wamebahatika kupata ' Vilema ' vya Kujitakia ila wapo pia ambao leo walithibitisha kuwa Mbio za Masafa marefu au mafupi ' hakubarikiwa ' nazo tu Mwanariadha Bingwa wa dunia kwa sasa Usain Bolt na kwamba kumbe hata Wao wanaweza vile vile ila bado bahati haijawadondokea.

Napenda kuchukua nafasi hii Kuwashukuru mno na sana ' Makomandoo ' hao wa Simba SC kwa Kitendo hiki cha ' Kishujaa ' kabisa walichowafanyia ' Mashabiki ' wa Yanga SC na naamini wataenda ' Kusimulia ' huko waliko au Klabuni Kwao. Simba SC wakilitaka lao linakuwa na hakuna wa Kulizuia na ole Wao tena ' Wanafiki ' wengine Kesho tena wajifanye kuwasaidia Nkana Red Devils ili Simba SC ifungwe.

Nawasilisha.
 
Mara nyingi Wadau wa Yanga fc ndio wanaopata fulsa ya kuingia uwanjani na kuziroga timu pinzani.
Kuwazuai wapenzi wa Yanga kuingia uwanjani kwa nia ya kwenda kuroga ni ngumu sana kwakuwa wana mtandao mkubwa sana wa wamiliki wa uwanja na Wizara ya michezo kwa ujumla wake.
Hata mechi iliyopita ya Simba na Yanga, Yanga walifanikiwa kuingia uwanjani siku moja kabla ya mechi na wakafanikiwa kuroga ili wasifungwe na Simba sc.
Simba hawakupata nafasi hata ya kuchungulia ndani.
Na mchezo ndio ule mliouona pale kwa china.
Hata hii mechi Yanga watakuwa wamefanikiwa kuingia na kuiroga Simba sc.
Simba wataifunga Nkana fc, kwakuwa tu watacheza kwa kujituma na kumtanguliza Mwenyezi Mungu.
Ila kama Kuroga Yanga wamesharoga.
Nazungumza kitu nilichokishuhudia kwa muda mrefu sana.
 
Huu ni mchecheto...Yanga inahusika vipi na mechi ya Simba...leteni vitu vya maana na siyo issue za kipuuzi kama hizi....Tunataka hoja za tathimini ya mchezo na timu 'yetu' ya Simba ifanye nini uwanjani ili iweze kushinda...msituletee mambo ya kipuuzi ya 'kuloga'...
 
Habari zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba ' Makomandoo ' wa Simba SC katika hali ya Kuonyesha kuwa hawana ' Utani ' kabisa hasa kuelekea Mechi yao ya Kesho dhidi ya Nkana Red Devils jioni ya leo wametembeza ' Kichapo ' kikali sana kwa Mashabiki wa Yanga ambao inasemekana walikuwa wanataka Kuingia Uwanjani ' Kuroga ' ili Simba SC ' ifungwe ' na Timu hiyo kutoka nchini Zambia.

Mtoa taarifa amesema kwamba ' Mzozo ' ulianza hasa pale ambapo katika hali isiyotarajiwa na ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa Mashabiki hao wa Yanga SC walidai kuwa wanataka kuingia Uwanjani ( Kwa Mchina / Uwanja wa Taifa ) kufanya Mkutano Wao ndipo wakashtukiwa na ' Makomandoo ' wa Simba SC ambapo waliwafuata na kuwatembezea ' Kipigo ' cha Kikatili / Kishalubela ambacho kimewaacha wengine hadi sasa hivi ni kama vile ' Nusu Marehemu ' huku wengine wakiwa wamebahatika kupata ' Vilema ' vya Kujitakia ila wapo pia ambao leo walithibitisha kuwa Mbio za Masafa marefu au mafupi ' hakubarikiwa ' nazo tu Mwanariadha Bingwa wa dunia kwa sasa Usain Bolt na kwamba kumbe hata Wao wanaweza vile vile ila bado bahati haijawadondokea.

Napenda kuchukua nafasi hii Kuwashukuru mno na sana ' Makomandoo ' hao wa Simba SC kwa Kitendo hiki cha ' Kishujaa ' kabisa walichowafanyia ' Mashabiki ' wa Yanga SC na naamini wataenda ' Kusimulia ' huko waliko au Klabuni Kwao. Simba SC wakilitaka lao linakuwa na hakuna wa Kulizuia na ole Wao tena ' Wanafiki ' wengine Kesho tena wajifanye kuwasaidia Nkana Red Devils ili Simba SC ifungwe.

Nawasilisha.
Mbona mnateseka sana?
 
Mara nyingi Wadau wa Yanga fc ndio wanaopata fulsa ya kuingia uwanjani na kuziroga timu pinzani.
Kuwazuai wapenzi wa Yanga kuingia uwanjani kwa nia ya kwenda kuroga ni ngumu sana kwakuwa wana mtandao mkubwa sana wa wamiliki wa uwanja na Wizara ya michezo kwa ujumla wake.
Hata mechi iliyopita ya Simba na Yanga, Yanga walifanikiwa kuingia uwanjani siku moja kabla ya mechi na wakafanikiwa kuroga ili wasifungwe na Simba sc.
Simba hawakupata nafasi hata ya kuchungulia ndani.
Na mchezo ndio ule mliouona pale kwa china.
Hata hii mechi Yanga watakuwa wamefanikiwa kuingia na kuiroga Simba sc.
Simba wataifunga Nkana fc, kwakuwa tu watacheza kwa kujituma na kumtanguliza Mwenyezi Mungu.
Ila kama Kuroga Yanga wamesharoga.
Nazungumza kitu nilichokishuhudia kwa muda mrefu sana.
Una maana ilikuwa lazima Yanga ifungwe?
Nyie wenye imani zenu, hata malaria mtu karogwa tu. Umezungukwa ma bwawa mazalio ya mbu, bado umerogwa tu.
Basi kwa taarifa yako, Crystal Palace wamechukua uchawi kwa Yanga wakaibamiza Man City kwake. Naye Chelsea karogwa kapigwa moja.
 
Wewe unazungumza tu hujui kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom