Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia! Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote...
7 Reactions
1 Replies
4K Views
Simba itapata bao Tu bila shida lakini kuwazuia Nkana wasipate bao ndiyo itakuwa kazi ngumu Kwa Simba.
8 Reactions
282 Replies
28K Views
tarehe 19/12/2018 arsenal draw no bet Chelsea GG bayern munich over 1.5 first half GOODLUCK [emoji94]
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ili jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo. Mlidhani kwa kumtambua yule wa...
7 Reactions
49 Replies
7K Views
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo...
11 Reactions
109 Replies
13K Views
Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA...
16 Reactions
70 Replies
13K Views
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu utabiri wa hali ya hewa jijini Dar es Salaam unaonesha tarehe 24/12/2018 kutakuwa na jua kali na hamna dalili yoyote ya manyunyu wala mvua. Kuna mtu huwa anategemea mvua miaka yote ili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Yule mchezaji wa kimataifa anaewasumbua wazungu samagoal ametimiza miaka 23 Leo hongera kwake Ikumbukwe samata amejifunga mkataba mpya klabuni hapo hadi 2021 ambapo kwa mwezi anakula milioni 500
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ole Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kikosi cha Laela fc. kimewasiri mjini Iringa kutokea mji wa Laela mkoani Rukwa tayali kuwakabili Lipuli fc
1 Reactions
5 Replies
3K Views
HAINIPUNGUZII chochote nikikusalimu kwa kukupa gwala asubuhi leo, ila ni nyongeza tu ya uungwana. Kula gwala mtu wangu! Gwala nikupazo ni mambo matano yaliyotikisa jana kutoka duniani kuja...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kumbe tulisema tuwangoje Taifa kwa kuwa kuna fursa ya kukata Nyasi kumbe...[emoji23][emoji23]
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Hakika Ogopa Mchawi na Mnafiq Ngoma siyo yao ila wapo tayari kujitoa Roho. Jamaa mmoja aliepitiwa na Rungu la TFF asijihusishe na Michezo hajakoma Jina kapuni Ambae ni mnazi wa yanga na M/Kiti...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mama kawa kijana baada ya kutoka kupiga mechi ya netbol katila time ya wabunge na kupata ushindi pembeni kushoto Ni naibu spika dr.tulia Basata nakaribisha vifungo vyenu hapa
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Chelsea msijifanye hamjui kesho mnakutana na kipara... Yaani misigara ya kocha wenu kesho tutamnywesha maziwa... Jificheni tu
1 Reactions
16 Replies
2K Views
sio jambo la kushangaza wakina boban kusajiliwa klabu kubwa kama yanga.. ndiyo!..umekuwa mshangao Mkubwa boban kusajiliwa yanga.. lakini uhalisia ni huu.. tuanze kwenye ligi yetu.. kiukweli ligi...
1 Reactions
2 Replies
987 Views
Mmmm hawa jamaa wolves leo wanawapunguza point jamaa. Watagawana point leo. Heading ni Wolves vs liverpool.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
1.Dida 2.Colbal 3.Kwasi 4.Paul Bukaba 5.Juko 6.Ndemla 7.Rashid Juma 8.Mzamiru 9.Salamba 10.Niyonzima 11.Kichuya kama ni kwel hesabuni maumivu na mnachezea shalubu za Pala na hesabuni maumivu
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Ni mchezaji machachari aliyewahi kuichezea timu mbalimbali ikiwemo klabu ya Simba. Amefariki leo msiba uko nyumbani Yombo. RIP striker
2 Reactions
35 Replies
10K Views
Back
Top Bottom