baba wanakufa mchana kweupe.... hii ndo simba ya kimataifaNakuamini Mnyama wangu SIMBA SC najua huwezi kuniangusha Nkana wameingia pori lenye mnyama mkali sioni ni wapi watatoka kujiepusha kuliwa na SIMBA
Kila la kheri chama kubwa Simba sc
Jipe tu moyo sisi sio PrisonWe!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Kabisa mkuubaba wanakufa mchana kweupe.... hii ndo simba ya kimataifa
Mimi shabiki wa Cmbavyura wa kihansi mpo?
Nmecheka sanaWe!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Nmecheka sana
Ikiisha round hii kuna stage gani inafata?
Makundi au knockout nyingine!