-Baada ya Simba kufuzu robo fainali Tanzania kama nchi tumekuwa na point 18 kwenye ranking ya Caf kwa miaka mitano 2015-2019/20 na tupo nafasi ya 12 kwenye msimamo
-Achana na mataifa 10 ambayo...
-Siku Tanzania inacheza na Uganda kwenye pambano lililo ishuhudia Taifa Stars ikiungana na Cranes kwenye safari ya Misri kuna kitu niliwaeleza watu niliotazama nao pambano hilo.
-Niliwaambia...
Wakuu Habari zenu?
Safari ya simba kwenye klabu bingwa Africa aina tofauti na Safari ya Liverpool uefa champions league.
Liverpool kwenye champions league msimu wa 2018/2019 ,walishinda mechi...
manula,zana,hussein,juuko,wawa,nyoni,kotei,muzamiru,kagere,boko,okwi.
nyoni atakuwa anasaidia upande wa kushoto kukaba,kotei kulia, muzamiru naye ana uwezo wa kukaba na kupiga pass,maana inabidi...
Habari Wana JF
Kwa wale wapenda soka, na wafuatiliaji timu yangu siku mbili tatu hizi imeamsha Jambo, si jipya lakini, nauona Kama mtihani mkubwa, kwa kocha na mechi muhimu kwa wakal wa soka...
Watanzani huwa ni wavivu kutumia fursa kwaajili ya maendeleo ya Taifa. Hii inatokana na kifanya kazi kwa mazoea, kukosa ujuzi na usimamizi mbovu. Mwaka 2019 tumebahatika kuwa wenyeji wa Mashindano...
Mechi ya Tz Prisons vs Biashara fc ya Mara leo ilitazamwa na mashabiki watatu tu waliolipa kiingilio elf 3000 na jumla kuwa sh.9000/=.
Nasubilia mgawanyo wa mapato
Habari ndugu.
Kilichoiponza leo simba kwa upande wangu mi naona ni kitendo cha kuumia Pascal Wawa. Jamaa kama asingetoka nadhani leo mazembe wangepigwa mengi kabisa.
Sent using Jamii Forums...
Nilimsikia kocha wa twiga stars akilalamikia maumbo makubwa ya wadada wa congonikajisemea mweeeh,wachezaji wazuri nchi hii wanatokea kigoma na morogoro unatarajia nini?labda wasukuma na wanyakyusa...
Mwaka 2019, Tanzania inaandaa mashindano makubwa ya soka la vijana barani Afrika. Mashindano haya yatatazamwa duniani kote na tutapokea wageni kutoka mabara yote. Kama Taifa, tujipange kuutangaza...
habari wadau..
kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow..
nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee...
je kamati ya fitna imempiga mo ama...
Mzuqa wanajamvi!
Habari za weekend matumaini yangu wote ni wazima na buher wa Afya.
Faster kwenye mada. Keita jana usiku alifunga goli Lake la kwanza tangu ajiunge na Liver na lilikuwa muhimu...
Ikitokea Simba kesho imemfunga TP Mazembe. Mimi ntaponda ponda mapumbu yangu kwa nyundo yawe kama uji. Moderators muuache uzi huu nisipoweka ushahidi wa picha hiyo za mapumbu nliyoponda ponda...
Hiki kikosi cha 2012 ndio kilichompiga yanga 5-0 vs kikosi cha simba kilicho draw 0-0 vs to mazembe , kikosi kipi bora zaidi?
kama ulipokea usisite kutoa tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.