Hivi wakati haya mashindano ya vijana ya Afrika yanapangwa kufanyika Tanzania kipindi hiki hawakujua hali ya hewa itakuwaje hapa Tanzania.Baada ya Qatae kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa kombe la dunia...
Aman kwenu
Njoon tucheke
Hahahahahahaaahahaaaa tp mazembe ilikuwaga ile ya samata ila hii ni kibonde kwa mchina lazima ife na imekufa kweli
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wote na wanaSimba mnatakiwa kujiandaa mapema. Kwa vipato vyetu kutungua suti dukani hiyo jumapili inaweza kuwa ngumu,anza kabisa kesho kuongea na fundi,mpe tahadhari ijumaa iwe imekuwa...
'Tumetuma malalamiko dhidi ya @CAF_Online kwa kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa marudiano wa #CAFCL tutakaocheza Jumamosi./We have formally lodged a complaint against CAF for the abrupt...
Wanamsimbazi na hata baadhi ya viongozi mpaka sasa hawaamini kama timu yao ndio imeukosa ubingwa wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara msimu huu, lakini moja ya wajumbe wa Baraza la Wadhamini wa klabu...
Shabiki lialia amekutana na bodi ya wakurugenzi ya Simba na kupewa ofa ya kwenda Congo kushuhudia game ya TP Mazembe.
Shabiki huyo pia atasalia Dar kutazama mchezo wa nusu fainali dhidi ya...
Tetesi za usajili kutoka klabu mbalimbali za Ulaya zikiwemo Chelsea, Arsenal, Liverpool, Man City, Man United, Barcelona, Real Madrid n.k leo Jumapili 07/04/2019..........
Chelsea...
Janny Sikazwe (aliyezaliwa Mei 26, 1979 Kapiri Mposhi) ni mwamuzi wa soka wa kimataifa wa Zambia.
Safari yake ya mafanikio ya uamuzi aliianza kwenye mashindano ya COSAFA U20 mwaka 2008 wakati...
Kuelekea mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wawakilishi pekee Afrika Mashariki na Mabingwa wa Nchi Simba SC Mnyama, atapapatuana na TP Mazembe siku ya Jumamosi Aprili 6, 2019...
Hii ilikuwa ni ile Barcelona yenyewe, yaani Messi, Iniesta, Xavi dhidi ya Celtic ya akina Victor Wanyama mwaka 2012 kwenye Uefa. Barcelona alikufa 2-1 licha ya muda mwingi wa mchezo kumiliki mpira...
ni kuhusu gazeti la championi, so far nimeona matangazo mawili makubwa, posters za barabarani! kuna lile la buguruni sheli ambalo limetumia picha ya cristiano ronaldo, halafu kuna lile la mwenge...
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara.
Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni...
Following Simba and Gor Mahia qualifications to the quarter finals of the CAF Champions league and Confederations cup ,Tanzania could secure four slots in the 2020/21 CAF Club Competitions ...
Mara nyingi nimekuwa naingia uwanja wa Taifa kuangalia mashindano mbalimbali ya Mpira was miguu toka uwanja wa Uhuru.
Nimeonana Mara nyingi vitendo vya udanganyifu kwa wasimamizi na pia baadhi ya...
Siku kadhaa zilizopita ulitembea waraka kwenye mitandao ya kijamii kuwa huenda simba ikatolewa kwa sababu inatumia madawa.
bila shaka yoyote itakuwa timu pinzani inayoshindana na simba ndio...
*Sare ya Simba lawama kwa Serikali,*
kitendo cha kufungia uwanja kimetuathiri sana, siku zote ili kummaliza adui tunahitaji muda mrefu wa maandalizi ikiwemo kamati zetu kuweka miundombinu vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.