Hesabu ya timu 4 Tanzania bado kidogo

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,694
-Baada ya Simba kufuzu robo fainali Tanzania kama nchi tumekuwa na point 18 kwenye ranking ya Caf kwa miaka mitano 2015-2019/20 na tupo nafasi ya 12 kwenye msimamo

-Achana na mataifa 10 ambayo yapo juu kwa point 30 kwenye ranking ya Caf nafasi ya 11 yupo Angola mwenye point 21.5 nafasi ya 12 Tanzania mwenye pointi 18 nafasi ya 13 yupo Ivory Coast mwenye point 15 na nafasi ya 14 yupo Kenya mwenye point 14

-Kwa mjibu wa Caf timu 12 ambazo zipo na pointi nyingi kwenye ranking zitaingiza timu 4 kwenye michuano ya CAF ikiwa timu 2 Caf Champions League na timu 2 Caf Confederation Cup kwa hiyo mpaka sasa Tanzania tupo nafasi ya 12 na tuna nafasi ya kuingiza timu 4.

-Hesabu rahisi ni kwamba washindani wetu Angola na Ivory Coast ambao wapo nafasi ya 11 na 13 hawana timu kwenye hatua hii kwa sasa kwa maana yake ni kwamba pointi zao haziwezi kuongezeka Angola atabaki na pointi zake 21.5 wakati Ivory Coast atabaki na pointi 15 zake ambazo tayari sisi tulishazipita

-Mshindani wetu na ambaye anatishia nafasi yetu ni Kenya wao kwa sasa wapo nafasi ya 14 wakiwa na pointi zao 14 na wameingiza timu kwenye hatua ya robo fainali maana yake ni kwamba point zao zinaweza kuongezeka na wakatuzidi.

-Iko hivi iwapo Gor Mahia itafuzu nusu fainali na sisi tukatolewa robo fainali maana yake Kenya watakuwa na pointi 19 na sisi Tanzania tunabaki na pointi zetu 18 maana yake Angola na Kenya wanaungana na mataifa yale 10 yenye point nyingi kuingiza timu 4 msimu wa 2020/21

-Iwapo Simba itafuzu nusu Fainali maana yake ni kwamba Tanzania tutakuwa na pointi 23 ambazo tutaishusha Angola yenye pointi 21.5 hata Gor Mahia afike Fainali hapo tuna uhakika wa kuingiza timu 4 tu kwa sababu tutakuwa tumemshusha Angola na hata Gor Mahia awe Bingwa wa Caf Confederation Cup.

-Iwapo Simba itatolewa robo na Gor Mahia itolewe robo fainali maana yake Tanzania itabaki na pointi zake 18 na Kenya itabaki na pointi zake 14 maana yake sisi Tanzania na Angola tunaungana na yale mataifa 10 kuingiza timu 4 msimu wa 2020/21

-Kwa maana hiyo tuendelee kuiombea Simba ifuzu nusu fainali au tuiombee mabaya Gor Mahia itolewe robo fainali tutakuwa na uhakika wa timu 4

Kila la Kheri Simba
Kila la Kheri Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mazuri kama haya wanayanga badala tuungane tuinue nchi kwenye soka la Africa ona wao misimu yoote hiyo wamevuna points 3? Uchambuzi mzuri bado waarabu weusi aka wakongo watabisha tu

Yanga wameongezea points hapo tuwapongeze pia pamoja na ukata wao, ingekuwa points 15 tu za simba zisingetosha mjue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U see hapa sasa ndio tunaita mafanikio ya soka sio kukaa kuzomea zomea tu zikija team za kigen, Kama zikibak kama zilvyo sasa hvi maana yake tuna uhakika wa Simba Yanga Azam na moja wapo kushiriki kwenye mashindano ya Caf kwa hatua za vilabu kuliko hii ya team 2 peke ake. Hongera Simba Hongera Yanga Pia
 
Wenzetu wakongo vita na mazembe ni wapinzani wa ndani tu ila ktk suala la nchi wanajua hili hivyo wanasaidiana na kupeana sapoti.
Itapendeza kama tutakuwa na timu simba, yanga na azam na mwingine kwa mpunga wanaotoa kama utafika mbele, lazima kiwango kitapanda kama mpunga utatumiwa sahihi.
 
Asante kwa uchambuzi Mzuri! Naamini miaka ijayo soka letu litapiga hatua nzuri kimataifa.
 
Hizo timu 4 unamaanisha 2 kwa champions league na 2 kwa confederation cup au 4 kwa champions league?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha timu zitazokuwa na point nyng yaani (1-12) ndzo timu pekee zitaingiza timu nne 4 msimu wa 2020/2021

2 caf confederation
2 caf champions

Hivyo tuiombee mabaya gor mahia ili ata simba asipofuzu half final bado tukizi vigezo hivyo maana atabaki na point 14 (nafasi ya 14)sisi tutabaki na 18 (nafasi ya 12 )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom