Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Umofia Wana Lunyasi ! Niende kwenye mada, Simba kufungwa mara tano consecutively is not accidentally but planned watu wasione Jambo kubwa mfano mzuri kutoka 2000s - 2010 Yanga alikunjwa kifo cha...
1 Reactions
8 Replies
810 Views
Nadhani mwaka 1988 Simba ilikaribia kushuka daraja ndipo Yanga ya wakati huo ikafanya huruma ya kuachia kombe lichukuliwe na Coastal Union kusudi Simba isishuke daraja. Nawaomba Yanga mwaka kesho...
5 Reactions
5 Replies
724 Views
Kwa wapenzi na watazamaji wa mpira wanajua na wanatambua, kitu cha kwanza na kigezo cha kusema 'huu uwanja ni mzuri' basi ni pitch quality, maana wanaohudhuria uwanjani ni asilimia kidogo sana...
0 Reactions
17 Replies
741 Views
Mji mtamu huuuu Nasema kama sio pacomw of Basi mhusika congs nimependa sana kuina hilii Ukifika afrikana shuka ukienda juliana club Unakuta kushoto duka la vinywaji la Pacome Na mambo ya...
1 Reactions
9 Replies
915 Views
Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
2 Reactions
1 Replies
403 Views
KAMA N MAPENZI YA MUNGU SISI WANA YANGA NA SIMBA TUNATAMANI HUYU BWANA APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMANI SIO KWA VIWANGO VILE UWANJANI KWAKO MAMA YETU TUNAOMBA SIKIA OMBI LETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
3 Reactions
8 Replies
590 Views
Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo...
7 Reactions
7 Replies
826 Views
Kiungo wa Simba Fabrice Ngoma hatakuwa msimbazi msimu ujao, Ngoma anaondoka Simba akiwa hajatwaa Taji kubwa kama ligi kuu au FA. Taarifa zisizo rasmi zinasema Fabrice Ngoma atajiunga na Moja ya...
1 Reactions
5 Replies
826 Views
1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa haraka haraka jamaa ni mtu anayependa attention kutoka kwa marefa na hata kutoka kwa mashabiki pindi awapo uwanjani. Akikosa attention huitafuta kwa namna yeyote haijalishi kwa kujirusha...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
NAJUA NAWAKERAAA OMBI LANGU TU SISI WANA SIMBA WOTE TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM crdb final HAWA SINGIDA WALICHOTUFANYIA SIO KIZURI KABISAA KABISAA sisi SIMBA MOJA
5 Reactions
6 Replies
462 Views
Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
0 Reactions
20 Replies
786 Views
“Hatuwezi kuogopa kucheza na Yanga kisa walimgunga Simba, huyo Simba hata sisi ni my wetu maana tulimfunga nyingi kuliko hata Yanga”____Afisa Habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…