Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna mabishano hapa kuhusu Haji manara na Club ya Simba wengine wanasema bado ni msemaji wa club wengine wanadai ametolewa kufika nafasi hiyo mwenye kulifahamu kwa undani wa suala hili anijuze kwa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni kwamba...... Kesho Wana Simba SC tunaenda Kuishangilia KMC, Jumamosi tutaishangilia Azam FC na kama kawaida Jumapili tunajishangilia wenyewe ( Simba Sports Club ) pale Taifa na wale wa...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote yule Uwanjani anaishangilia Yanga SC hasa katika Michuano yake ya Kimataifa. Simba SC tutazishangilia Azam FC na KMC pekee ila kwa Yanga SC watatusamehe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ratiba ya leo ndio ipo hivi, burudani inaanza mchana huu, game zote zitakuwa live kwa 40k kwa mwezi...ni mwendo wa HD tu
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom. Inaelezwa kati ya mashariti...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
JUNIOR AGOGO has died at the age of 40, after the striker passed away in London on Thursday morning (August 22). ormer Nottingham Forest and Sheffield Wednesday forward Junior Agogo has died at...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar za leo viongozi wamgu, kabla ya yote naeasalimu wote... Na baada ya Salaam naomba nijielekeze moja kwa moja hadi kwenye mada husika kama ambavo kicha cha habar kinasomeka jmn watanzania...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Tulio kuwa tuko bize na clouds kumsikiliza Haji Sunday Manara akitetema ( akiongea) kupitia clouds tukutane hapa, kumuunga mkono msemaji wetu bora kabisa anayewalazaga Gongowazi na viatu. Tukutane...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Pazia ligi kuu msimu wa 2019/20 ndio unaanza Sasa tutawaona akina kambuzi wavuruga ligi na watoa hogo kwa timu pinzani na waamuzi wakipewa maagizo toka tff kuikwamisha timu Fulani isishinde kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
LIGI KUU YAPATA MDHAMINI: Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom wamesaini Mkataba wa miaka 3 wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habar za leo wakuu kama kichwa cha habar kinavojieleza sina mengi nataka kujua mdhamini mkuu ligi Bara ni nani maana naona siku zina kwenda hatangazwi kama ambavo tuliiambiwa atatangazwa siku...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Huenda Ndondo Cup ikafa kifo cha mende baada ya waandaji kuingiza siasa kwenye mpira. Iweje waende kukabidhi kombe kwa Dk. Bashiru? Kwa nini wasiende kwa Waziri wa Michezo?
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Haji manara pamoja na mashabiki wa Simba wamekuwa wakisema Simba ni tajiri sio kweli Simba ni tajiri Bali inamwekezajj tajiri team tajiri inapimwa kupitia account ya bank inasemaje na namna...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza. Kmc 0 - 1 AS Kigali Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa. Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
TFF imesema kocha yoyote na benchi la ufundi lazima wavae sare ya timu halisi siyo kujivalia nguo zisizoeleweka. Aidha kama siyo sare basi nguo za heshima Mbali na hivo hatua za kinidhamu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Sawa Simba Wamesajili Wachezaji Wazuri Wengi Wao! Lakini Siamini Kwamba Mkude Nibora Zaidi Yakotei! Hakika Jamaa Alikua Chuma Kweli Hasa Katika Lukaba! Naikumbuka Mechi Ya Mwaka Juzi Simba Pungufu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mchezaji kinda aliyewahi kufanya majaribio Manchester United. JOEL DARLINGTON ameamua kujikatisha maisha yake. Chanzo kikiwa ni kuchoshwa na majeraha ya mara kwa Mara. Club yake ya mwisho...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema kuwa mfumo wa Ligi Kuu ya soka nchini kujumuisha timu 20 utatumika kwa msimu wa 2019/20 pekee Kwa msimu wa 2020/21 timu zitapungua na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya kufanyika usajili , jambo pekee ambalo mashabiki wa Yanga wanataka kuona, ni timu yao ikifanya vizuri Ukiachana na michezo ya kirafiki ambayo Yanga imecheza, matokeo ya mchezo wa kwanza...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…