Hivi Haji Manara bado msemaji wa club ya Simba SC?

Alexeliah

Member
Jun 11, 2019
5
3
Kuna mabishano hapa kuhusu Haji manara na Club ya Simba wengine wanasema bado ni msemaji wa club wengine wanadai ametolewa kufika nafasi hiyo mwenye kulifahamu kwa undani wa suala hili anijuze kwa haraka tutatue ugomvi huu.
 
Ukitaka kugombana nao waambie msemaji wa Simba ni Gift Macha juzi kulikuwa na huu ubishi buguruni sokoni ple nikawauliza hv ukisikia nafasi flan imetangazwa maana yake nn? Wakawa wakali hoja hakuna wao wanadai bdo ni msemaji km ni hivyo ile nafasi isingetangazwa wangerenew tu mkataba kajamaa kabishi kutoka ple!
 
Kuna mabishano hapa kuhusu Haji manara na Club ya Simba wengine wanasema bado ni msemaji wa club wengine wanadai ametolewa kufika nafasi hiyo mwenye kulifahamu kwa undani wa suala hili anijuze kwa haraka tutatue ugomvi huu.
Haji bado ni mwajiliwa wa Simba, Mbaka pale Simba watakapo toa taarifa nyingine. Mim si shabik wa Haji ila napenda ange endelea kuwa msemaji wa simba kwakua ile ni kazi inayompatia rizk.
Vilevile uwa aninifurahisha anapotoka povu hasa aki panic. Saanyingine hubeba mbaka tv. Jamaa uwa anajiona mjaanja Kumbe Ngapulila tu.
 
Mimi niliye jikoni nachojua ni kwamba nafasi iliyotangazwa ni Afisa Habari,cheo ambacho Haji anakosa sifa kutokana na ngazi ya elimu inayohitajika. Kama Haji angekuwa na kiwango hicho cha elimu asingekuwa na mpinzani

acheni zenu hizo, eti vigezooo!

Mwacheni Manara kwnye hiyo nafasi, anaweza, anapendwa na washabiki wa simba n.k!
 
Uambie uongozi ubadilishe kanuni,sio mimi!mi Haji namkubali kuliko mashabiki wote wa Simba

Hizo kanuni zilikuwa wapi siku zote wakt Manara akiwa msemaji wa Simba?
Au wameziweka juzi kumtafutia sababu wamwondoe?

Wee upo jikoni, waambie hao viongozi waache ujinga, sheria zianze siku manara anaondoka mwenyewe au anakufa!
 
Hana kazi msema hovyo yule, club yao nzuri ila inaharibiwa na yule msema hovyo
 
Manara sasa ndo anaona umuhimu wa elimu na hili liwe somo kwa wote wanaoshikiria nafasi kiujànja ujanja ambazo hawana sifa nazo
 
Nyie Menejimenti ya Simba, fanyeeni yooote Lkn Hajj abaki ndani ya Simba daima.
 
Haji bado ni mwajiliwa wa Simba, Mbaka pale Simba watakapo toa taarifa nyingine. Mim si shabik wa Haji ila napenda ange endelea kuwa msemaji wa simba kwakua ile ni kazi inayompatia rizk.
Vilevile uwa aninifurahisha anapotoka povu hasa aki panic. Saanyingine hubeba mbaka tv. Jamaa uwa anajiona mjaanja Kumbe Ngapulila tu.
Wewe ndo unatoa povu sasa!!
 
Gongo wazi fc mnaacha kujadili team yenu leo itashinda vipi mnajadili manara .
 
Back
Top Bottom