Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naanza na ANGALIZO kuna wale ‘ Wapuuzi ‘ fulani ambao huwa wanadhani ninapokuja hapa na taarifa za Kuihusu Yanga SC yangu / yetu basi labda nakuwa ‘ nazusha ‘ tu au huwa pengine nakuwa na ‘ Agenda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Inplay inalipa njoo ukutane na wakakamavu wa betting haswa inplay...njoo tushirikiane kumpa pasa kanji .....Tutanunua dream liner hivi punde ‎Open this link to join my WhatsApp Group: VIP...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwez kuwa bora wakt wote ndvyo ninavyoweza kusema baada ya man city kutandikwa tena leo. Mech imeisha kwa city kupigwa nyumban na wolves kwa mabao 2 kwa bila. Hakuna tena mpinzani tuwaache tu...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Nakumbuka hapa hapa niliwahi Kuwaasa Wanachama Wenzangu wa Yanga SC kuwa kama kuna Mwaka ambao tumechagua Viongozi ' Wabovu ' na ambao niliwaambieni kabisa kuwa Mmoja wao ambaye ni Mwenyekiti Wetu...
2 Reactions
68 Replies
10K Views
Yanga ya sasa ikifunga goli moja tu inapaki Basi. Au ikitokea ikabahatika kusawazisha wanarudi nyuma wote kulinda . Tena kipa anapoteza mda makusudi ili kulinda sare. Maajabu ya Dunia,acha Simba...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Bado wanaYanga wana kumbukumbu yenye maumivu juu ya Biashara ya Heritier Makambo kwenda Horoya. Maumivu yakiwa bado hayajapoa kwa sasa Maabara yupo Molinga anasukwa. Anapewa Promotion ya kila...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Huyu Jamaa ni beki mzuri sana, ameiongoza serengeti boys Garbon, ameiongoza U20 ya mtibwa kuchukua ubingwa kwenye club level.. na sasa ameiongoza national team u20 kuchukua ubingwa wa cecafa...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Timu ya Manchester united ikimaliza misimu miwili ligi kuu ya uingereza haijashuka daraja najinyonga na naomba mwili wangu usizikwe. Zama za Ferguson kununua mechi zimefika mwisho. Ntarudi baadae.
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Bondia Ibrahim Class Mgendera (26) almaarufu “King Class Mawe” amefanikiwa kutwaa mkanda wa ubingwa wa wa uzito wa kati (lightweight) unaotolewa na Baraza la Ngumi Duniani (Global Boxing Council)...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari ninaomba anae fahamu namna ya kuanzisha club ya mpira yani (team ya mpira ) kwanzia stage one hadi stage ya mwisho. maana kila siku nikienda chama cha mpira hapa Geita nakuta ofisi...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti Mshindo Msolla Wametangaza leo kuwa mil 10 itakuwa ikitoka kila baada ya point 3 kwa klabu Yao ili kurudisha ari ya ushindi Jangwani. Afisa uhamasishaji...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
Inaelekea viongozi wa Yanga hawaelewi wafanye nn kwa sasa ili Yanga irudie makali yake kwani wanatapatapa. Nmeshangaa kuona wanaajiri wasemaji 2 wa klabu ili wapambane na Haji Manara mmoja. Inatia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake. Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
wakuu kwa mara ya kwanza leo toka nianze kubet ndo leo napata ushindi kwa kuwaua man u ingawa ni timu yangu ninayo ipenda kutoka kundumbula na wasipo mfukuza kocha lazima tushuke...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Yanga ya msimu uliopita ilikua bora kabsa kuliko msimu huu. 2. Makambo alikua bonge la striker 3.Gadiel ni bonge la beki na Yanga walifanyakosa kubwa kumuacha. 4.Zahera hajui kusajili,hata kwa...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimeamua kusema hili kutokana na maamzi ya kukataliwa kwa goli la Arsenal dhidi ya Manchester United. Goli lilioneshwa kuwa Abu alifunga akiwa offside na siyo onside. VAR nayo eti ikakubali kuwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Tumpe mechi ngapi ?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kawaida yangu kwanzia saa sita kamili siku za jumatatu hadi ijumaa uwa nasikiliza east Africa radio kipindi cha kipinga extra. Pale unakutana na mashabiki mbali mbali wa timu zetu hasa pendwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jumapili saa 11 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki kikosi cha Man Utd kitakuwa ugenini St. James Park kumenyana na wenjyeji wao Newcastle United ambayo inachechemea kwenye ligi. Cha kufurahisha...
7 Reactions
38 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…