Uongozi wangu wa Yanga SC tafadhali Siku nyingine tusirudie tena huu ' Uhuni ' tulioufanya leo vinginevyo nitahamia rasmi Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,640
2,000
Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?

Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.

TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.

Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.

Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,640
2,000
Mods futa huu upuuzi
Wewe ni lazima tu utakuwa ni mwana Simba SC hebu tuache Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu na Timu yetu tuijadili Timu yetu hapa ambayo inashinda ' Kibahati ' mno huku ikionekana wazi kabisa kuwa ' tunabebwa ' na Waamuzi huku wengine wakisema sasa tumeanza ' Kuwahonga ' Waamuzi ili tu tushinde na tuweze Kutuliza ' Hasira ' za wana Yanga SC wengi.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,640
2,000
😂😂😂😂
Umeua mkuu
Kwanini Ndugu? Yanga SC Kwetu kuna ' Fukuto ' kubwa sana hivyo mwana Yanga SC Mimi An Eagle nataka Kuikomboa Yanga SC yangu kabla Uongozi huu wa sasa haujasababisha Timu yetu Kushuka Daraja Msimu huu. Hata hivyo naanza sasa taratibu Kutamani kuwa Mshabiki na hata Mwanachama wa Simba Sports Club ( Wekundu wa Msimbazi ) kwani naona wao Timu yao inaendeshwa Kisasa zaidi, kuna Mipango, Utaratibu halafu hata Timu yao yenyewe inashinda tu na wala haijatoka Sare au hata Kufungwa kama Yanga SC yangu.
 
Mr Easy

JF-Expert Member
Jan 16, 2016
1,529
2,000
Wewe ni mwanayanga uliyeamua kusema ukweli bila kupepesa.
Yanga hi si ilee! Yaani yanga hii hii ni aibu. Kuna umuhimu wa kutumia VAR kwenye mechi zake kama ingeruhusiwa.
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
22,869
2,000
Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?

Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.

TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.

Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.

Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
wewe mikia FC.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,640
2,000
mods kwa nini mpumbavu kama huyu hamumpi ban? hili ndondocha halistahili kuwepo jf
BAN kwa kuiongelea Yanga SC yangu au? Naipigania Yanga SC yangu na nadhani nina Uhuru wa kutoa Mawazo yangu na kama Wewe ' unateseka ' na ' Threads ' zangu za Kuihusu Yanga SC yangu sijakulazimisha uwe unazifungua. Na huwa nawashangaa mno mnajifanya ' mnanichukia ' lakini ndiyo nyie nyie mkiingia tu hapa JamiiForums ni lazima tu mtanifuatilia ama nimechangia nini au nimeanzisha Uzi gani hapa. Sasa ni nani ana matatizo kati yangu na yako / yenu? Na bahati nzuri ' Moderators ' ni Watu makini kuliko Mpuuzi Mwandamizi Wewe na Wenzako baadhi mnaoteseka nami Kutwa.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,640
2,000
Wewe ni mwanayanga uliyeamua kusema ukweli bila kupepesa.
Yanga hi si ilee! Yaani yanga hii hii ni aibu. Kuna umuhimu wa kutumia VAR kwenye mechi zake kama ingeruhusiwa.
Kabisa Ndugu na nitausema huu Ukweli daima bila Uwoga wala Unafiki wowote ule.
 
Ciro Teranova

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
296
250
Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?

Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.

TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.

Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.

Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
Kuna taratibu zinafuatwa na wanalipwa taratibu pesa inapoingia
 
Chikwuemeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
12,100

Hujalazimishwa kuwa shabiki wa Yanga jinga wewe,baki huko huko kwenye umbumbumbu
 
Chikwuemeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
12,100
2,000
BAN kwa kuiongelea Yanga SC yangu au? Naipigania Yanga SC yangu na nadhani nina Uhuru wa kutoa Mawazo yangu na kama Wewe ' unateseka ' na ' Threads ' zangu za Kuihusu Yanga SC yangu sijakulazimisha uwe unazifungua. Na huwa nawashangaa mno mnajifanya ' mnanichukia ' lakini ndiyo nyie nyie mkiingia tu hapa JamiiForums ni lazima tu mtanifuatilia ama nimechangia nini au nimeanzisha Uzi gani hapa. Sasa ni nani ana matatizo kati yangu na yako / yenu? Na bahati nzuri ' Moderators ' ni Watu makini kuliko Mpuuzi Mwandamizi Wewe na Wenzako baadhi mnaoteseka nami Kutwa.
We siyo Yanga ila unatafuta umaarufu kupitia Yanga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom