Kwa matokeo haya ya man city, tuwaache tu liverpool

Huwez kuwa bora wakt wote ndvyo ninavyoweza kusema baada ya man city kutandikwa tena leo. Mech imeisha kwa city kupigwa nyumban na wolves kwa mabao 2 kwa bila. Hakuna tena mpinzani tuwaache tu liver nao wajitolee gundu la zaid ya miaka 30 sasa kwa kubeba kombe lao mapema. Nawasilisha
ligi bado mbichi sana! !
 
Arsenal hii iliyo vulnerable kuruhusu magoli ama ipi?

Timu pekee iliyoruhusu nafasi nyingi za kufungwa kuliko nyingine zote.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom