Naamini kila mwana Yanga SC amemsikia Makamu Mwenyekiti wetu leo asubuhi ‘ akiipigia ‘ magoti CAF

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Naanza na ANGALIZO kuna wale ‘ Wapuuzi ‘ fulani ambao huwa wanadhani ninapokuja hapa na taarifa za Kuihusu Yanga SC yangu / yetu basi labda nakuwa ‘ nazusha ‘ tu au huwa pengine nakuwa na ‘ Agenda ‘ yangu binafsi na hata kuhisi kuwa natumika ‘ Kipropaganda ‘ Kuimaliza Yanga SC hasa hapa JamiiForums.

Kama kuna mwana Yanga SC naamini kabisa kuwa leo asubuhi alimsikia ‘ Mubashara ‘ kabisa Makamu Mwenyekiti wetu akizungumza kupitia Chombo cha Redio cha Efm katika Kipindi chao Kizuri cha ‘ Sports Headquarters ‘ na Kuitoa hii ‘ Kauli ‘ ya Kutia huruma ( ambayo naenda Kuinukuu hapa chini ) hasa kwa Wajumbe wa Shirikisho la Soka Barani Afrika ( CAF ) ambao leo Saa 2 za Usiku watakuwa ‘ wanazichagua ‘ Timu za Kucheza katika hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC imeangukia huko baada ya ‘ Kufurumushwa ‘ kwa Goli za Zawadi la Mchezaji wetu ‘ mbovu ‘ Makame.

Ni kweli kabisa Ndugu Mtangazaji kwamba leo mida ya Saa 2 Usiku Yanga SC tutajua tutacheza na nani ila naomba Mungu Yanga SC tupangiwe na Timu ambazo tutazimudu na naamini Mwenyezi Mungu atakuwa upande wetu “.

Nikisema kuwa Yanga SC kwa sasa hatuna Viongozi bali tuna ‘ Wahuni ‘ tupu muwe mnanielewa An Eagle sawa?

Na kuna ' Mtaalam ' wangu Mmoja amenitabiria na kusema kuwa Yanga SC yetu leo katika upangaji huo tunaendea ' Kuangukia ' kwa Timu kali na Kabambe za kutoka katika nchi hizi Tatu Kubwa Kimpira barani Afrika na ambazo hata Ulaya zimeshapeleka sana Wachezaji wake wengi wa Kulipwa hivyo ni kama tu vile Yanga SC ' tumeshatolewa ' huko na sasa tujikite zaidi katika Ligi ambayo na yenyewe pia kwa mwenendo wa Simba SC huko pia hatuna chetu labda tukibahatisha sana Kubeba Kombe mwaka huu basi ama litakuwa ni la Mapinduzi au la Kugombe Vyura wakubwa waliopatikana kwa Uwingi Klabuni Kwetu kutokana na hizi Mvua Kubwa zinazoendelea kwa sasa Jijini Dar es Salaam.

Nchi zenyewe ni:

Misri / Congo DR
Algeria / Cameroon
Tunisia / Nigeria

Kazi ipo mwaka huu na Yanga SC yetu Kudadadeki!
 
mju

njoo pm nikutie buku kum ukale chips kavu..
 
Simba ndio wameaibisha Taifa, yaani wale wamakonde wa Msumbiji wamewashinda, naomba tupangiwe na vibonde UD SONGO ili tuwalipizie Simba kisasi
 
Punguza Majungu!
 
Ukubwa wa nchi kisoka haudetermine ukubwa na ubora wa klabu za soka zitokazo nchi hizo.

Nakupa mfano TP Mazembe inatoka DRC nchi ambayo haiikaribii Senegal au Cameroon kisoka je unaweza kunitajia timu yoyote yenye ubavu wa kuizingua Mazembe kutoka nchi hizo?
 
Simba ndio wameaibisha Taifa, yaani wale wamakonde wa Msumbiji wamewashinda, naomba tupangiwe na vibonde UD SONGO ili tuwalipizie Simba kisasi

Nakumbuka mara ya mwisho nilianzisha hapa hapa Uzi wa Yanga SC na ukaja kwa Kunitukana / Kunidhihaki na hadi kuwataka ' Moderators ' waufute na wanipe pia BAN. Je, imekuwaje tena leo hii umekuja Kuusoma Uzi wangu na umenijibu Kinidhamu na wala hujaomba Uzi ufutwe na nipigwe BAN Ndugu? Bahati nzuri sijaanza Kukudharau leo na ndiyo maana wala hunipi taabu sana sana nakuona ni ' Kituko ' tu.
 
Haki miliki ya nyuzi zote humu jamvini ni ya jamiiforums wenyewe. Ukishaanzisha uzi na kuupost basi sio wako tena. kwa hiyo unakosea sana kusema uzi huu ni wako.
 
Wewe ndiyo Laki Si Pesa Ndugu? Acha ' Kiherehere ' kama Mkojo wa Alfajiri sawa?
 
Tumeskia mkuu kama kuna mashindano yanakuwa makali ila watu wanayazarau ni shirikisho kila tumu hapa inataka kupambana ili kujiweka nafas nzuri maana ukitolewa hapa hamna mashindano mengine utaenda labda ya ligi za nchi huska kwa iyo wana yanga tusitegemee maajabu kweny timu yetu ile hamna kitu
 
Naanza na ANGALIZO kuna wale ‘ Wapuuzi ‘ fulani ambao huwa wanadhani ninapokuja hapa na taarifa za Kuihusu Yanga SC yangu / yetu basi labda nakuwa ‘ nazusha ‘ tu au huwa pengine nakuwa na ‘ Agenda ‘ yangu binafsi na hata kuhisi kuwa natumika ‘ Kipropaganda ‘ Kuimaliza Yanga SC hasa hapa JamiiForums.

Kama kuna mwana Yanga SC naamini kabisa kuwa leo asubuhi alimsikia ‘ Mubashara ‘ kabisa Makamu Mwenyekiti wetu akizungumza kupitia Chombo cha Redio cha Efm katika Kipindi chao Kizuri cha ‘ Sports Headquarters ‘ na Kuitoa hii ‘ Kauli ‘ ya Kutia huruma ( ambayo naenda Kuinukuu hapa chini ) hasa kwa Wajumbe wa Shirikisho la Soka Barani Afrika ( CAF ) ambao leo Saa 2 za Usiku watakuwa ‘ wanazichagua ‘ Timu za Kucheza katika hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC imeangukia huko baada ya ‘ Kufurumushwa ‘ kwa Goli za Zawadi la Mchezaji wetu ‘ mbovu ‘ Makame.

Ni kweli kabisa Ndugu Mtangazaji kwamba leo mida ya Saa 2 Usiku Yanga SC tutajua tutacheza na nani ila naomba Mungu Yanga SC tupangiwe na Timu ambazo tutazimudu na naamini Mwenyezi Mungu atakuwa upande wetu “.

Nikisema kuwa Yanga SC kwa sasa hatuna Viongozi bali tuna ‘ Wahuni ‘ tupu muwe mnanielewa An Eagle sawa?

Na kuna ' Mtaalam ' wangu Mmoja amenitabiria na kusema kuwa Yanga SC yetu leo katika upangaji huo tunaendea ' Kuangukia ' kwa Timu kali na Kabambe za kutoka katika nchi hizi Tatu Kubwa Kimpira barani Afrika na ambazo hata Ulaya zimeshapeleka sana Wachezaji wake wengi wa Kulipwa hivyo ni kama tu vile Yanga SC ' tumeshatolewa ' huko na sasa tujikite zaidi katika Ligi ambayo na yenyewe pia kwa mwenendo wa Simba SC huko pia hatuna chetu labda tukibahatisha sana Kubeba Kombe mwaka huu basi ama litakuwa ni la Mapinduzi au la Kugombe Vyura wakubwa waliopatikana kwa Uwingi Klabuni Kwetu kutokana na hizi Mvua Kubwa zinazoendelea kwa sasa Jijini Dar es Salaam.

Nchi zenyewe ni:

Misri / Congo DR
Algeria / Cameroon
Tunisia / Nigeria

Kazi ipo mwaka huu na Yanga SC yetu Kudadadeki!
Sijui kwa nini hukuwepo pale msamvu
 
Walipeni kwanza hawa wachezaji pesa yao,sio kuwatisha
Screenshot_20191009-211134.jpeg
 
Back
Top Bottom