MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Nimeamua kusema hili kutokana na maamzi ya kukataliwa kwa goli la Arsenal dhidi ya Manchester United.
Goli lilioneshwa kuwa Abu alifunga akiwa offside na siyo onside.
VAR nayo eti ikakubali kuwa halikuwa goli.Huu ni ujinga maana maamuzi ya VAR yanategemea mtu kuamua kuliko ilivyo kwa Goal line ambayo ni computered.
Ni wazi uingereza waiondoe VAR haina msaada wowote zaidi ya kuumiza timu.
Muongozaji wa VAR jana aliipendelea Manchester United kwa kitendo cha jana.