Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,802
1. Yanga ya msimu uliopita ilikua bora kabsa kuliko msimu huu.
2. Makambo alikua bonge la striker
3.Gadiel ni bonge la beki na Yanga walifanyakosa kubwa kumuacha.
4.Zahera hajui kusajili,hata kwa Makambo alibeti tu kwani madudu ya Kindoki mnayakumbuka
5.Wachezaji wa Yanga wa msimu huu hata wakae pamoja miaka elfu 1000 hawawezi kubadilika na kutengeneza kombinesheni
6 Yanga hii ndio inayocheza mpira mbovu kabsa toka nianze kuishabikia mwaka ya 1992
7.Utaratibu wa kumpa kocha uhuru wa kusajili kwa nchi zetu bado sn kwani huishia kusajili mabinamu na wajomba zake. Hata Ndailagije anahiyo tabia.
8.Sielewi Zahera anafundisha nn mazoezini kwani mpira unaochezwa Yanga haueleweki. Wachezaji hawawezi kipiga pasi za maana,hawana spidi( Wazito sn) ukimuondoa Balama na Ngasa, Mafowadi wote mbele ni mizigo
9. TZ tunawachezaji wazuri sn kuliko hawa maproo wanakuja kupiga hela zetu na kuondoka. Salamba pamoja na mapungufu yake huwezi linganisha na uchafu Moringa. Na hayo tu wakuu. Yanga mbele daima nyuma mwiko.