Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,802
Yanga ya sasa ikifunga goli moja tu inapaki Basi. Au ikitokea ikabahatika kusawazisha wanarudi nyuma wote kulinda .
Tena kipa anapoteza mda makusudi ili kulinda sare. Maajabu ya Dunia,acha Simba watucheke.
Ni mbinu ya hovyo kabsa kuwahi kuiona kwa timu yenye malengo ya kutwaa ubingwa.
Kwa kawaida hii huwa ni mbinu ya timu inayojinusuru kushuka daraja. Mbaya zaidi mbinu hii imekua ikiwaghalimu, lakini Zahera anasema eti haimnyimi usingizi.
Kama halimnyimi usingizi anangoja nini pale Yanga? Yanga inatafta sare hadi mechi ya kirafiki? Viongozi fuatilieni kwa karibu ni nini Zahera anafundisha mazoezini.
Kocha gani hajui hata kusajili. Kumbukeni msimu huu zinashuka timu 4 msije sema hatukuwambia. Shauri enu!!