Kenyan athlete becomes first person to run a marathon in under 2 hours .
34-year-old Kenyan athlete, Eliud Kipchoge, made history on Saturday by becoming the first person to run an unofficial...
Wasalam wadau.
kuna Ligi inaendelea mahala, imetokea timu zimekuwa na pointi sawa na magori ya kufunga na kufungwa ni sawa. kwamaana ya timu "A" ina pointi 4,imefunga gori 4 na imefungwa gori 4...
Klabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)
Jezi zao za Ugenini ambazo ni za Rangi Nyekundu na zimerembwa Kiuzuri kabisa hakika zinakufanya hata Wewe mwana Yanga SC mwenzangu Kushawishika na Kuzivaa hivyo Mimi An Eagle ambaye ni Mwanachama...
Chelsea baada ya kup
igwa ban yakutosajili madirisha mawili na ban yao itaisha january.wamejipanga kumsajili kiungo machachari wa real Madrid majira ya kiangazi ambapo ban yao itakuwa imeisha kwa...
Katika kuendelea kujiweka sawa na patashika ya Vodacom Premier League VPL, Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, leo Jumamosi Oktoba 12, 2019 watakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya...
Wakuu "imagine" mechi muhimu pengine fainali halafu dakika ya 90 mnapata faulo nje ya box la adui, wewe ukiwa kama kocha/captain utampa nafasi nani ya kupiga faulo hiyo ili walau mpate goli la...
TFF orodhesheni idadi, aina na dalili za vitendo vya kishirikina kwenye soka. Vinginevyo mnajenga dhana na tafri tata.
Hivi mtu akija uwanjani na pembe la ng'ombe analipuliza ni ushirikina...
Kama si uchawi sijui itakuwa nini, ukiambiwa lile jengo lililojaa ukungu mweusi wa fungus kama kuta za choo cha Tandale kwa mfuga mbwa ni jengo la klabu kubwa zaidi barani Afrika na Tanzania...
Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, anatarajia kucheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Bandari FC, kutoka nchini Kenya, Mashujaa United ya Kigoma na Black Eagles FC kutoka...
Mazoezi ya Familia yapigiwa chapuo.
Mbio za Marathon zimekuwa ni sehemu ya Maisha ya watu wengi hasa mijini na kwa kiwango kikubwa imechochea sana kuboresha maisha ya Watanzania wengi...
Jerome Sensei (kushoto) akiwa na Naka Tatsuya Shihan kwenye makao makuu ya JKA/WF jijini Tokyo, Japan mwaka 2014
Jerome Sensei akionyesha kwa vitendo namna ya kujihami na kushambulia.
Walimu wa...
Wakuu nimeumia saana yaani hajapambana hata dakika kumi kaporwa mkanda. Lesnar mshenzi sana
=======
Following a six-month dream reign as WWE Champion, Ghanaian-born wrestler Kofi Kingston saw it...
Unaweza kusema Yanga wamejitakia.Mipango mibovu na mbinu za hovyo za Zahera ndio imeifikisha timu mdomoni mwa mwarabu mwenye njaa kali. Km kocha wa Yanga angekua ni mtu wa mipango bila ubishi...
Kama walivyowahi kufanya huko nyuma kina Mike Tyson, Floyd Mayweather, Rounda Rousey n.k naona WWE wameamua kuwachukua Bondia bingwa wa uzito wa juu 'Tyson Fury' na bingwa wa zamani wa UFC uzito...
Unakumbuka lile sakata la John Terry kuchukua jukumu la kukaa golikipa kwenye mchezo wa Chelsea?
Naomba uniambie ilikuwa ni Chelsea na timu gani na mwaka gani kwenye mashindano gani?
Hili...
wazo la kutengeneza jesy ya club ya yanga ni zuri na la ubunifu mkubwa ambalo hata huyo manji alishindwa. Jesy zina quality kubwa na za kweli kabisa. hakuna upatikanaji wa holela.
ushauri wangu...