Msimu wa familia marathon wazinduliwa jijini dar es salaam

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83
IMG-20191011-WA0009.jpg

Mazoezi ya Familia yapigiwa chapuo.

Mbio za Marathon zimekuwa ni sehemu ya Maisha ya watu wengi hasa mijini na kwa kiwango kikubwa imechochea sana kuboresha maisha ya Watanzania wengi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Familia Marathon Balozi wa Familia Marathon Veronica Kundya alisema “ mazoezi yana mchango mkubwa wa kuboresha afya ya Familia hivyo kujenga taifa bora la lenye nguvu la kesho”.

Mbio hizo za Familia Marathon zinatarajiwa kufanyika Disemba 8 2019 jijini Dar Es Salaam
 
Back
Top Bottom