Tyson Fury, Cain ndani ya WWE

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Kama walivyowahi kufanya huko nyuma kina Mike Tyson, Floyd Mayweather, Rounda Rousey n.k naona WWE wameamua kuwachukua Bondia bingwa wa uzito wa juu 'Tyson Fury' na bingwa wa zamani wa UFC uzito wa juu mmexico 'Cain Velasquez' kushiriki kwenye event kadhaa, hii imekaa kibiashara zaidi naona lengo ni kupandisha ratings za WWE maana currently inaonesha zimeshuka sana, kwa maana hata sisi wapenzi wa 'real sports' tutalazimika kuangalia hayo maigizo. Anyway nasubiria kwa hamu hizo mechi btn Cain vs Lesnar na Fury vs Strowman
Screenshot_20191010-074009_1570682458258.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom