Mayweather vs Pacquiao ndani ya Kigali Arena!

Mr Putin

JF-Expert Member
Feb 13, 2019
255
250
Zitapigwa hapo, anza ku save for trip and ticket

mayweather-pacquiao.jpg
48378423676_c010e08258_k_1.jpg
besides-indoor-sports-events-the-state-of-the-art-kigali-arena-will-also-host-musical-concerts...jpg
kigali-ae356.jpg
kigg-9ceec.jpg
 

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
20,631
2,000
Siku hizi boxing zinapigwa kwenye basketball court au sijaelewa
 

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,874
2,000
Kagame yupo very strategic linapkuja suala LA Kuimarket nchi yake
 

Mr Putin

JF-Expert Member
Feb 13, 2019
255
250
Ni kigali Arena jaman!
 

Attachments

 • IMG_20191011_073218.jpg
  File size
  623.9 KB
  Views
  0
 • IMG_20191011_073429.jpg
  File size
  419 KB
  Views
  0
 • IMG_20191011_073240.jpg
  File size
  440.1 KB
  Views
  0

Sauda

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
865
1,000
Tanzania tuna mambo mengi mazuri, tatizo letu watanzania hatujihusishi na kusifia mambo yetu. Ila tunayo mengi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom