Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,895
- 1,608
MESSI GOLDEN SHOE 6
RONALDO 4
DE LIMA 1
La Pulga; The King.
Mchezaji bora wa dunia Leonel Messi jana amekabidhiwa kiatu chake cha Dhahabu baada ya kuwa mfungaji bora wa magoli kwa ligi za Barani Ulaya (European Golden Shoe) msimu wa 2018/2019. Akiweka kambani magoli 36.
Messi anakuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya kandanda barani Ulaya kutwaa viatu 6 vya dhahabu.
2009/2010: 34
2011/2012: 50
2012/2013: 46
2016/2017: 37
2017/2018: 34
2018/2019: 37
Washindi wa kiatu cha dhahabu barani Ulaya kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.