YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 570
Wakuu, Kwa Muda Mrefu Sasa Naitafuta Hii Handheld Video Game... Wapi Naeza Kupata Kwa Hapa Dar Es Salaam, Na Gharama Yake!
Nenda kariakoo mtaa msimbaz zimejaaa tele
Sina uhakika ila kwenye 120 hukosi