Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu Zahera uropokaji wake utai-cost timu. Anaonesha dharau za wazi kwa mashabiki; wasipokuwa makini, huyu mtu ataua hamasa yote viongozi wanayoipigania. Ikumbukwe kuwa 90% ya usajili huu pesa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa. Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wadau wa Sports forum na JF members kwa ujumla. Sikuwa nikiwafahamu kwa undani hawa jamaa ni mpaka niliposikia taarifa kutoka kwa baadhi ya wadau na kuamaua kuwajua kwa undani ni akina nani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Man United, Yanga na Arsenal ni timu nguli katika nchi zao lakini zinapitia kipindi kigumu katika historia za timu zao Yanga SC Ndiyo timu kubwa na kongwe tanzania ,timu yenye mashabiki wengi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hakika kocha Zahera anajua kujitetea.Baada ya majigambo ya kuifunga Pyramid ya Misri kushindikana,Kocha Zahera katika utetezi wake amesema usajili aliiufanya ulikuwa kwa ajili ya ligi kuu tu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Watanzania tunapenda football sana asikwambie mtu. Lakini kikwazo namba 1 cha soka letu ni ubovu wa pitch. Asilimia 90 kama si zaidi ya viwanja vyote vinavyotumika ligi kuu na daraja la kwanza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeangalia makocha wengi Tanzania na afrika.sijaona kocha kama Zahera. Yanga wanapaswa kuwa wavumilivu wampe nafasi. Ana vitu vikubwa sana wasije wakamwacha haraka Simba au Azam wakamchukua...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Kati ya makocha waliowai kuifundisha Yanga huyu Jamaa nimetokea kumuona hafai kabisa kuwa kocha was team kubwa kama Yanga. Ni kocha ambaye team inafanya vibaya na imekosa mvuto kabisa kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1) Mmiliki wa mpira ni lazima acheze, endapo hatopata namba basi ANAONDOKA na mpira wake. 2) Ukiwa mbabe, hutolewi mpaka mechi inaisha. 3) Hakuna kucheza ukiwa umevaa viatu. NB. Kama hujawahi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Chelsea bhana wana mpango wa kuwasajili neymar, sancho pamoja na chilwell Chelsea kwa sancho na chilwell mimi nawaunga mkono ila kwa huyo bitoz mimi siwaungi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zanu ndugu Wanaspot wa JF! Naombeni msaada kwa mwenye kujua sababu ya kukataliwa kwa goli la Arsenal dhidi ya Crystal Palace jana kwenye mchezo wa EPL lililofungwa na beki Sokratis...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Niliongea wiki jana juu ya kukataliwa kwa goli la Genk wengi wakapinga. Niliongea wenzetu hawa (hasa kwenye michezo) kwa haraka mara nyingi hawapendi kutupa credit sie Blacks; hawataki kabisa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Msimu umeanza, maji na mafuta yameanza kujitenga. Toka msimu wa 2018\2019 sikuona chochote kwa mwalimu Mwinyi Zahera. Michuano ya AFCON ikaja kunihakikishia kuwa Mwinyi Zahera si chochote. Msimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wewe tumekuambia mapema sana kuwa tibiwa Hospitali ya Muhimbili Mkoani Dar es Salaam utapona haraka dhidi ya Ugonjwa wako wa ‘ Pyramid Mwarabu Fever ‘ ukatuona wenye Akili akina GENTAMYCINE ni ‘...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanariadha Alphonce Simbu amefanikiwa kushinda medali hiyo katika Mashindano ya Majeshi ya Dunia yanayoendelea nchini China. Mwanariadha huyo ambaye ni Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Miaka sita iliyopita mwezi Desemba baada ya mechi ya Mtani Jembe kati ya Yanga SC na Simba SC mechi iliyotamatika kwa Yanga SC kuchabangwa magoli 3-1, aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Ernest Brands...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimesoma gazeti la mwananchi Online limemnukuu Zahera akisema," Kurushiwa makopo kawaida wala haimuumizi kichwa." Akaongeza yeye bado anamkataba na Yanga. Huyu jamaa sjui kwanini anang'ang'ania...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Na tarehe husika ya hiyo ‘ Aibu ‘ ni ama tarehe 1 Novemba au tarehe 3 Novemba huko nchini Misri. Na labda mapema tu hii tuanze Kuiomba Serikali kupitia Wizara husika ya Michezo ianze Kuwaandaa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
YANGA Stiven Nemes,David Mwakalebela,Kenneth Mkapa,Godwin Aswile,Salum Kabunda,Isah Athuman(R.i.P),Abubakari Salum,Athuman China,Said Mwamba(R.I.P) Sanifu Lazaro na Uncle Tom SIMBA Mohamed...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Simone Biles Becomes The Most Decorated Gymnast In World Championships History Simone Biles, 22, is now the most decorated gymnast in world championships history, winning 25 medals. Biles...
1 Reactions
6 Replies
952 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…